Kwanini wanaume wengi hawajui kiingereza?

Kwanini wanaume wengi hawajui kiingereza?

Ni kweli wavulana wengi wa mkoani hamjui kiingereza, pengine hamkua mnasoma novel, hamuangalii tv na movies, hamna mademu exposed wanaojua kiingereza hivyo kuwalazimu kujua kiingereza, hamtoki nje ya nchi na mambo mengine ambayo yanafanya maisha ya mikoani kutokuwa mazuri na rafiki
 
Hulka ya kujionesha hawajui kiswahili so yao.
 
Kama umesoma mpaka chuo na sio mbishi utakubaliana na maneno yangu kwamba wanaume/wavulana wengi tuko shallow english tofauti na wanawake, hili nimeliona tulivyokuwa secondary kupitia debates, pia chuo kwenye presentations, wanawake wengi wako smart kwenye Lugha hii hawana makosa mengi ya grammar kama sisi wanaume. JADILI.....
Akili zetu zitatanuka tu pale ambapo tutaacha kukichukulia Kiingereza kama kipimo cha kujiweza kiakili na kiujuzi, bila kujua kwamba kutokujua Kiingereza hakuna uhusiano wa moja kwa moja na intelligence ya mtu. Ingekuwa Kiingereza ni dili kihivyo, basi Wachina, Wakorea, Wajerumani na Warusi wangekuwa ndio ma-mbumbumbu wa mwisho kabisa, kwa sababu hawakiongei kwa ufasaha na hawana mpango wa kuhangaika nacho.
 
WANAUME HAWANAGA MBWEMBWE. HUONGEA KWA MPANGILIO NA BAADA YA KUFIKIRI NDIO MAANA WANAONEKANA SIO FLUENT. AFTERALL ALIYEUMBIWA UTUMWA SIO MWANAUME NDO MAANA LUGHA ZA KITUMWA HIZI WANAUME HATUFAGILII. KISWAHILI, KIKINGA, KISAFWA, KINYAKYUSA VINATOSHA SANA
 
Kama umesoma mpaka chuo na sio mbishi utakubaliana na maneno yangu kwamba wanaume/wavulana wengi tuko shallow english tofauti na wanawake, hili nimeliona tulivyokuwa secondary kupitia debates, pia chuo kwenye presentations, wanawake wengi wako smart kwenye Lugha hii hawana makosa mengi ya grammar kama sisi wanaume. JADILI.....
Wanaume wa wapi?
 
kwasababu kipaombele sio kujua kingereza ila kutimiza lililokupeleka shule/chuo.....kwa mfano unaongea kingereza kama Trump halafu kila muhula unavimeo vitano, cha nini sasa hicho kingereza
 
Upuuzi upuuuzi mtu anaongelea kingereza kama ni kitu muhimu kwenye maisha nasisitiza ni mabaki ya ukoloni kingereza kutumimiwa kama kipimo cha uelewa au elimu ya mtu ni bado ni upuuzi wa hali ya juu lugha ambayo ukienda uingereza ambayo kwao ni lugha mama inazungumzuwa na na waliosoma.na wasiosoma na vichaa kila unamjua sisi wamekuja kututawala tuone ligha yao ndio kila kitu mataifa mengi yamesimamia lugha zao china,france,germany,na kadhalika lakin had leo kuna mtanzania anaona kuongea kingereza ana nyezo kubwa sana maishani mpuuzi ukijisimamia na kujitegemea hakuna atakae kuwa na shida ya kujua kingereza..mchezaji Mess hajui kingereza hakuna anamuuliza ila mchezaji wa tanzania akienda ulaya akiwa haongei kingereza mtaanza kumcheka ma kuhoji kwa nini hajui..!
 
I wants you to knows that actually this my language was very very hard, and plus we do not ate good food we couldn't speak them perfectly.

Imagine tomorrow morning I eat tea dry dry.
 
Tatizo lako umeona akina diva na masista doo unaokutana nao wanapiga swanglish ndo ukatuona marijali woote hatujui


#WE_MBAYA
 
Hehehe
Your welcome....
Sakayo juzi juzi tumeshuhudia Masha, Wenje, Mwalimu na Safari wakitema ung'eng'e wa uhakika lakini walipelekwa wasioweza kusema sentence kumi za kiingereza, so dunia haiko fair kama watu wengi wanavyodhani
 
Kwenye presentation na debates kweli wanaweza kuongea kiingereza kizuri, ila kwenye interview hawajui kiingereza sanifu... wanahema hema tu...!
 
Sakayo juzi juzi tumeshuhudia Masha, Wenje, Mwalimu na Safari wakitema ung'eng'e wa uhakika lakini walipelekwa wasioweza kusema sentence kumi za kiingereza, so dunia haiko fair kama watu wengi wanavyodhani
Usitegemee kuona maisha yenye haki Sawa kwa wote... Huwa tunaongea tu kinafki lakini ukweli tunao kwenye mioyo yetu
 
Wanawake show off nying sana. Alafu mleta mada ungetumia neno wanawake wanaweza ongea kingereza kuzidi wanaume. Na sio it wanajua. Hawajui lolote. Ukiwapeleka kwenye writting ni bashite kabsa.
 
Back
Top Bottom