princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,657
- 19,274
SijuiYou seems your very very sistaduu kwakweli, so your cheating me I know lazima tyu u know english, please cheat me or sorry teach me




SijuiYou seems your very very sistaduu kwakweli, so your cheating me I know lazima tyu u know english, please cheat me or sorry teach me




SijuiWamwage nini?
Mkuu, mie nikisha tumbuiza bia mbili tu UNG'ENG'E unateleza kama Muinglishi.Kama hawajui kiingereza hicho unacho kitukuza
basi ufahamu kuwa wanaume wako njema kwenye lugha za asili
kama kuongea kimakonde, kimanyema, kichaga, kikurya, kisukuma, kimtang'ata,
kimang'ati, kimanyema , kikwere, etc
jadili kwani tuko sekondari. kama ngeli inakupiga chenga mkuu ni wewe mie niko vizuri mpaka slang!Kama umesoma mpaka chuo na sio mbishi utakubaliana na maneno yangu kwamba wanaume/wavulana wengi tuko shallow english tofauti na wanawake, hili nimeliona tulivyokuwa secondary kupitia debates, pia chuo kwenye presentations, wanawake wengi wako smart kwenye Lugha hii hawana makosa mengi ya grammar kama sisi wanaume. JADILI.....