ha ha ha.... We jamaa wwKwa hiyo makamu anajua kingreza zaid kuliko rais
Kiingereza kama cha Shilole,keh keh keh...!!!!Show Offwanawake tunapenda Show off
ila mimi sijui kingereza Jamani![]()
By the Way big up Shilole na tafika mbali as nakumbuka 2 years back na sasa. Ame-improve mnooooo! Big up wa-nyumbani!Kiingereza kama cha Shilole,keh keh keh...!!!!
Kiswahili daima, wanaume wanatetea utamaduni waoKama umesoma mpaka chuo na sio mbishi utakubaliana na maneno yangu kwamba wanaume/wavulana wengi tuko shallow english tofauti na wanawake, hili nimeliona tulivyokuwa secondary kupitia debates, pia chuo kwenye presentations, wanawake wengi wako smart kwenye Lugha hii hawana makosa mengi ya grammar kama sisi wanaume. JADILI.....