Kwanini wanaume wengi hawajui kiingereza?

Kwanini wanaume wengi hawajui kiingereza?

Kwa kutumia kanuni ya vise versa is true, then,
Kama wanaume hawajui kiingereza hicho unacho kitukuza
basi ufahamu kuwa wanaume hao (ambao ndio vichwa vya wafamilia) wako njema vibaya mno kwenye lugha za asili.


kama kuongea kimakonde, kimanyema, kichaga, kikurya, kiyao, kisafwa, kinyakyusa, kibena, kikinga, kihehe, kijirta, kijaluo,kiha,kisukuma, kimtang'ata,
kimang'ati, kimanyema , kikwere, etc
Mkuu umesahau na KIGOGO ambacho kinaeleke kuja kupiku lugha zote
 
Upo sahihi kabisa,kwa sisi tuliosoma linguistic tuliona kwamba katika ubongo kuna sehemu zinazojishughulisha na lugha. Sehemu hizo zinaitwa right and left hemisphere.Kwa wanawake sehemu zote zinajishughulisha na masuala ya lugha hasa kuamiri(aquisition) na kuimudu(competence).Kwa upande wa wanaume ni kipande kimoja tu kinachojishughulisha na lugha ambapo matokeo yake ndo hayo kama ulivyosema. Kwa msingi huo ndo maana jinsia ya kike huwa rahisi sana kujua lugha haraka kuliko jinsia ya kiume. Jaribu kuchunguza hata watoto wadogo wenye umri sawa wa kiume na wa kike nani utangulia kuongea.
Asante sana kwa maelezo ya kisayansi!
 
Kama umesoma mpaka chuo na sio mbishi utakubaliana na maneno yangu kwamba wanaume/wavulana wengi tuko shallow english tofauti na wanawake, hili nimeliona tulivyokuwa secondary kupitia debates, pia chuo kwenye presentations, wanawake wengi wako smart kwenye Lugha hii hawana makosa mengi ya grammar kama sisi wanaume. JADILI.....
wewe mbona hujui kihindi?
 
we ndez kama english kwako is not reachable usituunganishe na sisi!! wewe kama hakipandi ni wewe nyambafu!!!
 
we ndez kama english kwako is not reachable usituunganishe na sisi!! wewe kama hakipandi ni wewe nyambafu!!!
Andika hayo uliyoaandika kwa kingereza kama sio mmojawao
 
Wanaume au watz? Kwani ndani ya nyumba/mitaani/mabarabarani/ndani ya madaradara nk wanaoongea zaidi ni jinsia gani? Nazungumzia Lugha yoyote. Kisaikolojia wako tofauti mama usipoteze muda mwingi kuwalinganisha!
 
Back
Top Bottom