Kwanini wanaume wengi hampaki makalio yenu mafuta

cutelove

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Messages
1,832
Points
2,000

cutelove

JF-Expert Member
Joined Oct 3, 2017
1,832 2,000
Wanawake wengi wamebaini kuwa mwanaume unaweza kumkuta anang'aa uso,na sehemu zingine ila makalio yao yamepauka na wengine yanatoka ukurutu kwa sababu ni nadra sana kupaka makalio yao mafuta baada ya kuoga

Ni mjadala nilioukuta saloon moja hapa mjini kati

Wanaume jipakeni mafuta na makalio yenu
 

battawi

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2014
Messages
556
Points
250

battawi

JF-Expert Member
Joined Mar 29, 2014
556 250
KALALE MBELE UKO, WAMBIE MASHOGA NDO WAFANYE HIVYI SI VIJEBA VYA SHOKA ,
Tunapakaga mafuta kwenye uso na mikono tuu kwa kuwa tuonekane kidogo nadhifu,i kwa ajili ya kujilemba kama wanawake.
 

MWANAKA

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2013
Messages
3,918
Points
2,000

MWANAKA

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2013
3,918 2,000
Unaanzaje kwa mfano
Binafsi sikumbuki ni lini nilipaka mafuta matako yangu
Ninachojua ni kuoga na kujifuta maji na taulo then unavaa boxer then suluari singlend shati par fume kidogo basi mchezo umeisha oooh nimesahau mafuta ya usoni basi kama kuna nilichosahau mtanikumbusha wanaume wenzangu
 

MWANAKA

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2013
Messages
3,918
Points
2,000

MWANAKA

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2013
3,918 2,000
Kuna baadhi ya wanawake wanatembea na KY jihadhari nao.πŸ˜‚


Ndukiiiii πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
Hao ni wale wanawake wa Mzizi mkavu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wanaitwa "wanawake wa cha kati"
Usiniulize maswali mengi lakini kiufupi ni kwamba mjini hapa kuna wanaume ambao ili akolezwe vizuri kimapenzi huwa ananyonywa uume wakati huo huo anatiwa kidole cha kati kwenye sehemu ya haja kubwa na mashuhuda wanadai utamu wake ni mala 100 zaidi ya ule uujuao
Pls don't try this at home
 

Forum statistics

Threads 1,344,377
Members 515,441
Posts 32,818,010
Top