Kwanini wanaume wengi hampaki makalio yenu mafuta

Dooh... Mapya haya

Mlianza na Nguvu za kiume ikapita

Mkaja na issue za kusquirt

Mkaja na issues za vibamia

Na sasa mnakuja na hii, mtupe break kidogo.
 
Wengi wanapaka mafuta matakoni ila hapa hawatasema kwa kuogopa kuonekana MAPUNGA!

Kupauka matako ni urijali!
 
ILI IWEJE?


Wanawake wengi wamebaini kuwa mwanaume unaweza kumkuta anang'aa uso,na sehemu zingine ila makalio yao yamepauka na wengine yanatoka ukurutu kwa sababu ni nadra sana kupaka makalio yao mafuta baada ya kuoga

Ni mjadala nilioukuta saloon moja hapa mjini kati

Wanaume jipakeni mafuta na makalio yenu
 
Back
Top Bottom