jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,752
- 16,368
kituko una vituko? nafurahi kwa swali lako zuriHao wazuri umeshatembea nao wangapi , na hao wabaya umeshatembea nao wangapi mpaka ukafikia level ya kuweza kuwatofautisha wazuri na wabaya?
Ngoja niishie hapa, mana naona ban njenje