Je, ni kabila gani uliambiwa usioe/ usiolewe nalo na kwanini?

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
15,774
24,209
Kwa jamii zetu za kitanzania ni suala la kawaida Kwa wazazi wetu kukushauri masuala ya future especially ndoa. Kwa kukuambia makabila ya kuoa/ kuolewa nayo ...ukiachana na wale wa kishua ambao huambiwa waolewe na watoto wa matajiri wenzao

Kwetu sisi tuliambiwa hatutakiwi kuoa jamii za kaskazini especially wachaga Kwasababu Fulani Fulani kuwa ulipata Mali basi ndo ticket Yako ya kwenda ahera madukani

But ukweli ni kuwa broo alioa mchaga wanapesa na bado huyu mke wake anakubalika sana huku ukweni Kwa sababu ya kindness kubwa alionayo?

NB: zakuambiwa changanya na zako

Je, ni kabila gani uliambiwa usioe/ usiolewe nalo na kwanini?

IMG-20230806-WA0000.jpg


Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Niliaswa sana kuhusu

Wakinga - wachawi
Wanayakyusa - wababe
Makabila ya kaskazini - wabinafsi, wasio na mapenzi wanajali mali

Cha ajabu Mungu fundi bwana, nimeoa mdada wa arusha ni mpole mnyenyekevu ana upendo, sio mchoyo wala hana mambo mengi. Na ni mzuri kwelikweli

Yani hata ahera wakisema nichague mke ntachagua mama chanja wangu jamani

Haya mambo ya mapenzi weka pembeni sjui makabila sjui nini. Cha msingi mnapendana mnaheshimiana na mna chemistry basi inatosha.

Nlidate na wa kabila langu wote tulishindwana
 
Kwa jamii zetu za kitanzania ni suala la kawaida Kwa wazazi wetu kukushauri masuala ya future especially ndoa .........Kwa kukuambia makabila ya kuoa/ kuolewa nayo ...ukiachana na wale wa kishua ambao huambiwa waolewe na watoto wa matajiri wenzao

Kwetu sisi tuliambiwa hatutakiwi kuoa jamii za kaskazini especially wachaga Kwasababu Fulani Fulani kuwa ulipata Mali basi ndo ticket Yako ya kwenda ahera madukani

But ukweli ni kuwa broo alioa mchaga ....wanapesa na bado huyu mke wake anakubalika sana huku ukweni Kwa sababu ya kindness kubwa alionayo ......????

NB: zakuambiwa changanya na zako

Je ni kabila gani uliambiwa usioe/ usiolewe nalo na kwanini?View attachment 2712595

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kuna kabila linasisitiza mafiga matatu
 
Back
Top Bottom