Waha bhana,Nachukia wanaume wawili kukaa chumba kimoja.nishaulini niongeze kipi ili watengane??

Mussa Lucas

Member
Jun 12, 2022
16
25
Nyumba ya kupanga raha hasa
Leo Waha wamepigana wenyewe kwa wenyewe,inadaiwa mmoja kaiba elfu tano ndani.Sasa kuna wanaomtetea na wanaomuunga mkono aliyeibiwa.Basi ndani ngumi zimepigwa humo .

Sasa ule mlango wao una komeo nje,majirani si wakawa wanakuja ili waamue ugomvi,nikawawahi nikafunga mlango wao komeo nikatia na kufuli .Majirani wamebakia kwa nje makelele tu jamani eeeh wanauana hukuuu mie kimyaaaaa,majirani nao wambea na nyuso zao kama sinia za kipaimara .Unaambiwa midamu mwa mwa mwaaaaaa kama mauaji ya kimbari,yanadundana huku yanaongea kiluga

Kusema ukweli ile efu tano niliichukua mie,niliikuta mlangoni kwao chini nikanyata nikaichukua nasubiri mida ifike nikanunue zangu viepe
Unaambiwa kaja mjumbe wakavunja kufuli,wametolewa ndani wana minundu wengine wamepasuka midamu tu.Kwanza mie hata sijatoka kuamulia,mi nimekuja kupanga sikuja kuamua ugomvi usionihusu .

Hii nyumba sihami,nyumba za hivi rahaaa.Saivi wote wapo kwa mjumbe inaamuliwa kesi na mlango wao upo wazi nimeingia nimefunua jungu la maharage yameshaiva nimejaza michumvi pwaaaaa nimekoroga nimefunika .
Mi napenda sana fujooo,i like trouble na siku ikipita hakujatokea hata ugomvi nakuwa kama naumwa,nakosa raha kabisa yani.Na baiskeli zao sita zote nimetoa upepo matairi,naenda kununua chips kuku na pepsi narudi najifungia zangu kimyaaaaa naangalia Osman Bay .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mussa Lucas we mwizi
 
Katika vitu ambavyo ungevunga ku post ni huu upuuzi. We ni zaidi ya mchawi, maamae
 
Back
Top Bottom