Ukimaliza kufanya mapenzi 'sex' huwa unabaki na hasira?

mimiamadiwenani

JF-Expert Member
Mar 9, 2022
5,411
7,016
Habari!

Hivi ni kwanini ukiwa unafanya mapenzi unakuwa huna hasira? Naongelea kwa wote, wanaume na wanawake.

Nimefanya tafiti kwenye groups kadhaa za akina mama. Wakakiri kuwa, wakiwakosea waume zao, au wakigombana kwa namna moja au nyingine, basi wakiwapa tu unyumba waume zao na hasira za waume zao huisha, wanaishia kujichekesha tu.

Kwamba mwanaume ukipewa sex hasira na frustrations zote zinaondoka?

Mimi binafsi nikichukia hata baada ya sex naliamsha tena.

Kwamba wanawake wakitukosea walazimishe kutupa unyumba ili tuwasamehe na hasira zitoke?

Unyumba unaotoaje hasira? Whats the mechanism?

Wenye uozefu ndoani, haya ni ya kweli au hadithi za kutunga tu?

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 
Mwanamke akitaka kitu kutoka kwako ambacho kwa kawaida huwezi mpa au mfanyia au akijua ameyatimba au in short akitaka kuku manipulate silaha zake

  • Unyumba
  • Machozi
  • Kufanya/kusema kitu uonekane mbaya
  • Akuambie 'Be a man"
  • Akuambie "Mwenzio fulani anafanya/kafanya hivi"

Mwisho wa siku wanawake wanawapelekesha wanaume wasio waelewa wanawake au wale nice guys in nature,,maana kuna wanaume wamezaliwa tu wapo hivo hawapekeeshwagi na wanawake na wangine wamejifunza hilo in a hard way

Kwahy kama ukipewa sex hasira zako zinaisha kama mwanaume umefeli, amesha kumanipulate, it means anajua hamn sehem nyingne utapata hiyo huduma

Finished man
 
Dah! Umemwaga povu la hatareee. Umetema che! cheeee!

JK
Msoga, Tanzania.

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 
Mtu yeyote akikosea anatakiwa kukiri kosa, kuomba msamaha na kuahidi kubadili/kuacha issue iliyowakosanisha.

Usikubali chochote zaidi ya hivyo vitu vitatu, baada ya hapo muombwa msamaha akikubali ndio maisha mengine ya sex au zawadi au kitu chochote kizuri kifuate, kinyume na hivyo you are being manipulated a.k.a unafanywa mjinga.
 
Inafurahisha sana kuona mwanamke tena mama mtu mzima anashusha nondo kama hii. Nimefurahi mno shangazi.

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 
Inafurahisha sana kuona mwanamke tena mama mtu mzima anashusha nondo kama hii. Nimefurahi mno shangazi.

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
Karibu mjukuu.

Japo na wewe usimkazie mwenzio kiasi hiko, kwenye mapenzi kuna vimakosa vidogovidogo sio lazima ukasirike na kutaka msamaha, vingine unapotezea tu. Ila kuna mengine onesha msimamo wa kiume kabisa usitetereke mpaka upate maelezo ya kutosheleza.
 
Sawa. Ushauri wako nimeupokea kwa mikono miwili.

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 
""Nimefanya tafiti kwenye groups kadhaa za akina mama. *"

Shida imeanzia hapa,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Ni technique moja wapo ya kutafiti. Ni akili kubwa imetumika na ndiyo maana nimepata majibu niliyohitaji kujua.

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
Sawa. Mkuu hapo nakupa salout πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Ila tukirudi kwenye mada
"""Mimi binafsi nikichukia hata baada ya sex naliamsha tena."""
Hapo mkuu utakua una kisilani tuu ..
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom