Kwanini Simba na Yanga hazigombanii na timu kubwa kwa wachezaji wazuri

franckkimm

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
440
852
Simba,Yanga Ni timu kubwa ila sijawahi kusikia wanamgombania mchezaji fulani na timu Kama Al ahly, mamelodi, wydad nk.... Ukubwa uko wapi Sasa??????

Pia kwanini hatusajili waarabu huku east?? wakati waarabu wanasajili sanaa mchezaji Yoyote mweusi but awe na kiwango kikubwa.

Acheni ufala nyie wafia timu shtukeni, mpira wa TZ Ni wachache Sanaa wanapiga hela, hakuna mtu loyal kabisa

Mtu loyal Ni family YAKo pale utakapo tangazwa Kama mtendaji mkuu/mjumbe/mwenyekiti wa timu fulani, tofauti na hapo ww Ni bendera fuata upepo TU

Nimemaliza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Goalkeeper wa Simba ni Mwarabu.
 
Back
Top Bottom