Kwanini wanaume wazuri hawajui mapenzi

Hao wazuri umeshatembea nao wangapi , na hao wabaya umeshatembea nao wangapi mpaka ukafikia level ya kuweza kuwatofautisha wazuri na wabaya?

Ngoja niishie hapa, mana naona ban njenje
kituko una vituko? nafurahi kwa swali lako zuri
 
Nooo,sio kuwa nimeutumia mwili kufanya majalibio but nimeuliza kwakuwa nasikia

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana swali umeuliza kwanini wanaume wazuri huwa hawawezi mapenzi! Inaonyesha unawajua vizuri ndio maana ukauliza hivyo! Jibu ni kwamba cyo wote uliojaribu kukutana nao wewe ndio wabovu. Ila wapo wengine utavalia kypi sebuleni ujue. Ukitaka uamini endelea kujaribu haribu utakutana nao tuu.

hivi sinimeuliza mbona mwanisingizia mtoto Wa watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikuambie kitu, usijaribu usichana wako kwa kutembea na wanaume tofauti.

Chagua mmoja, use na future nae. Mtafundishana jinsi ya kuridhishana.

Hamna aliezaliwa anajua mapenzi.
great thinker! hii ni constructive thought nawakubali sana wanawake wenye akili kama hivi,mmbarikiwe.
 
Sio WANAUME wazuri tu..ambao hawajuwi MAPENZI....na WENYE PESA PIA hawajuwi MAPENZI NA..hata WANAWAKE wanajuwa hilo kwamba WAKITAKA ZITOKE CHECHE ZA MOTO basi WA DATE na WANAUME WENYE SURA NGUMU AU watoke na wale WANAUME WASIO NA KITU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom