Kwanini wanaume wa Tanzania wapo hivi?

Kwanini wanaume wa Tanzania wapo hivi?

Hii post ni kama zile wanazopost wanaume wa jf kuhusu wanawake wa Kitanzania.
 
haaaa kwa io na we ulikua unawatukana ukadhani wanna mda huo? pole cku engine onyesha ushirikiano asee
 
anajiuza, na anajua wabongo hawatoi mkwanja Wa maana ndo maana anawatukana

just a psychological view
 
mwanaume wa tanzania aktongoza akijbiwa maneno machaf nae anatoa maneno machaf. mwanaume wa kizungu akijbiwa maneno machaf ananyamaza anazidsha upendo mpk unaona aibu kwann ulkuwa unamjbu vbaya. mwishon mnajkuta mmefall in love. kwann inakua hv?
Nenda katongozwe na wazungu basi kama unawashambikia sana!
 
kwa nini na nyie wanawake wa tanzania mnaomba hela sana kwani nyie hamna mikono? misuli? na ubongo je?
 
mwanaume wa tanzania aktongoza akijbiwa maneno machaf nae anatoa maneno machaf. mwanaume wa kizungu akijbiwa maneno machaf ananyamaza anazidsha upendo mpk unaona aibu kwann ulkuwa unamjbu vbaya. mwishon mnajkuta mmefall in love. kwann inakua hv?

...... kumbe unajua kuwa umejibu maneno machafu, halafu unakaa unasubiri maneno mazuri ! pumbavuu !
 
Inanishangaza sana kwanini mwanamke utoe lugha ya matusi wakati control ya kukubali au kukataa iko mikononi mwako. Unaweza kumkataa mwanaume na usimtusi..kwani inakugharimu nini?
 
wazungu wajinga tu mwanamme anapigwa na mkewe linaisia kupuga ngumi ukuta toa kichapo hadi akome
 
Kuku wa kienyeji ukimtongoza lazima akutole maneno machafu.. Kuku wa kizungu ukimtongoza ndio kwanza anaongeza urafiki kama hakutaki.. Hivi kwann kuku wa kiswahili wanakuwa hivi jamani

Kwa sababu hawa kiswahili ni watamu kuliko hawa wa kizungu.
 
Back
Top Bottom