The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,151
- 20,076
ni maisha halis wala sio tamthilia
Bado mko calgary au mmerudi bongo?
ni maisha halis wala sio tamthilia
Umefanya reseach yako lini..???
ni maisha halis wala sio tamthilia
kwann wapo hivyo sasa? mwanaume wakizungu hata hajsumbui kujibu vbaya tena utashangaa amepajua had nyumban kwenu. unajiuliza amepajuaje?
ni maisha halis wala sio tamthilia
mwanaume wa tanzania aktongoza akijbiwa maneno machaf nae anatoa maneno machaf. mwanaume wa kizungu akijbiwa maneno machaf ananyamaza anazidsha upendo mpk unaona aibu kwann ulkuwa unamjbu vbaya. mwishon mnajkuta mmefall in love. kwann inakua hv?
Wote wako hivyo au?
Umeeleza kwa ujumla sana
Ni nani aliyekwambia kuwa wanaume wa kizungu hawatoi maneno machafu wanapokataliwa? Hizo movie ndizo zinazokudanganya? Kwa taarifa yako wazungu nao wanatoa matusi hivyo hivyo kama wanaume wa Kitanzania tena wakati mwingine matusi yao yanakuwa mazito kuliko hata ya Watanzania.
Swala la kutukana au kutotukana baada ya kukataliwa linategemea na tabia ya mtu na nia ya mtu kumtongoza huyo mwanamke. Kama nia yake ilikuwa njema na tabia yake ni nzuri basi bila shaka atakuwa muelewa na atamuacha huyo mwanamke aende zake au atajipanga upya na kurudi tena kwa ari mpya, nguvu mpya na kasi ya ajabu. Na kama nia yake ilikuwa ni mbaya (yaani kumchezea mwanamke na kumwacha) na kama tabia yake ni mbaya basi hatoridhika na jibu atakalopewa na matokeo yake ataamua kumzawadia huyo mwanamke matusi yaliyotukuka kama zawadi yake kwa kumkataa.
ww3.....hahahaa hiii vita jamaniii...
wanaume wa tanzania weng wana maneno machaf. hawajui mapenz. mnakataa lakin ukwel ndio huo
Ukiona wanakuwa wakali ujue walikuwa wanataka kipochi manyoya tu.
Hapana. Tukilinganisha Watanzania na wenzetu huko nje, Watanzania wamestaarabika zaidi kuliko wenzetu. Fanya utafiti, tembea na ishi nje ya nchi ndio utagundua kuwa ninachokisema ni ukweli mtupu.
Ushasema mzungu na mtanzania!!!
Hauoni kama cultural and Traditional ni tofauti?