emback
JF-Expert Member
- Jan 3, 2013
- 444
- 374
wanaume wa tanzania weng wana maneno machaf. hawajui mapenz. mnakataa lakin ukwel ndio huo. mnasema tamthilia nan amekwambia tamthilia?
Wafundishe basi....maana wasiojua ni sharti wajulishwe...au unataka kusema wanajua ila hawataki kutenda sawa na wajuavyo....