wana jf naomba mnisaidie hil nielewe mchakato mzma.
kwangu nina maoni tofauti. wanaume wa sasa wanaoa mapema (wengi before 33) kuliko miaka ya 80s. Miaka ya 80s ilikuwa ni kawaida kukuta bwana harusi uso una makunyanzi wakati bibi harusi ni kigoli karibu katika kila harusi nilizo attend those years. Ukiuliza ni kwa nini unaolewa na mzee unaambiwa vijana si waoaji, kumbe ni mambo ya hali ngumu ya uchumi. Siku hizi ni tofauti watu wanaoa age mates hasa mijini. Vijijini siwezi ku comment kwani sijuhi.
Before 33yrs ni mapema??
Kweli tupo dunia tofauti . . .
:glasses-nerdy::glasses-nerdy:
muoaji anaweza kuoa tu mara pale atakapomwona mwolewaji,
sasa kumpata huyo mwolewaji ndo kasheshe.........................lol...
sijui habari ya harusi,maana watu hawana uhakika na wanaowaoa na wanaoolewa nao kama watadumu nao kwahiyo wanachukuana too kama kimarekani kwa mkataba wakichokana anahamia kwa mwingine.Kula mlo mmoja siku hizi sio dili saaaaaana,badilisha banaaa au vipiiiiiiiiiiiii!!!!??
Mimi sijui, japo ni miongoni mwa wasiooa lakini sina majibu........ngoja niendelee kusoma majibu ya wenzangu. Swali langu ni upi umri sahihi wa kuoa? Je kuchelewa kuoa ni pale mwanaume anapofikisha miaka mingapi?