Kwanini wanaume siku hizi hawaoi haraka?

Elimu, Kazi , Fedha then Ndoa..........
labda aje ambaye namuota kila siku
mmmmhhh hapa labda nta exchange
ndoa na fedha..
 
Sababu inaweza kuwa
1.Hawawaoni wa kuwaoa
2. Waoga.
3. Hawajajipanga kimaisha.
4.zinginezo...

5.waolewaji wameisha wamebaki wa kuliwa uroda tu
6.kuoa ni kujiongezea matatizo
7.wanawake wengi wanasema wanataka kuolewa ili kuondoa nuksi,ukishamuoa atakufanyia vituko wee hadi ujute kwa nini umeoa ndo maana mda mfupi tu ndoa inavunjwa.mfano;
sasa hivi karibia ramadhani tutaoa sana baada ya miezi 3 wanawake wataanza kurudi makwao eti wamechoka ndoa.mia
 
wanakimbia majukumu haooooooo!.....coz hawajui jinc ya kumtunza mke....na zaid wanapenda kuonja different chicks...bt i wanna let ol men know dat;"THE MEANING OF A SCAR RING OF A MAN'S PENIS (kwa waliotahiriwa) IS THAT THE WOMAN WHO WILL EXPERIENCE THAT RING SHOULD HAVE HIS RING ON HER FINGER ie.SHOULD BE HIS WYF"....

Mmmmmh!......madogo yana nafuu.
 
Kujiandaa ili kuweza kuhimili gharama kubwa za maisha ya ndoa, kutokuwa na mchumba ambaye muoaji anaona anastahili kuolewa naye, Wanaume wachakachuaji ambao labda baada ya kuumizwa kimapenzi au kusikia/kuona ndugu, rafiki au jamaa aliyeumizwa kimapenzi hivyo kuamua labda hawataki kuoa tena au kutoona umuhimu wa kuoa mapema.

Hilo nalo NENO!
 
Hakuna wa kuoa wala wa kuolewa coz Zamani ulikuwa unavunja dafu mwenyewe lakini sikuhizi Du wanawakke wenyewe ndo balaa, Wanaume wanaamua kuchakachua tu na kusepa,,, wengine wanatatufa Wanawake wawazaliashe kishaajiendelezee na maisha mengine, coz unaweza oa, lakini uaminifu hakuna hasa kwa wanawake...
 
Mimi sijui, japo ni miongoni mwa wasiooa lakini sina majibu........ngoja niendelee kusoma majibu ya wenzangu. Swali langu ni upi umri sahihi wa kuoa? Je kuchelewa kuoa ni pale mwanaume anapofikisha miaka mingapi?

Aiseee....kama ulikuwepo vile, mimi mwenyewe hata sijui kwanini sijaoa/siowi mpaka sasa. Tena wala sijisikii hamu ya kufanya hivyo na wala sina hofu kwanini sijaoa mpaka sasa. Labda wataalam mtutajie umri wa mwisho kuoa labda ntaogopa nifanye fasta. Though ndoa za siku hizi macomplications kibao(vikao, kamati, ukumbi, michango, sijui suti, saloon, vyakula, vinywaji, kadi, sijui ninini na ninini tena) mambo kibao hata kuanziasha kampuni kuna nafuu!
Mara ndugu sijui waende wapi mara wapelekwe sijui kwa nani.....mambo lukuki hadi ndoa inaisha uko hoi! Mweeeee....mie hapana ngoja nisubiri subiri kwanza labda ajilete mwenyewe twende bomani then church, tena huko kwa wazazi wake akamalize mwenyewe mie ntampa mpunga tu apeleke mambo ya sijui kupigana faini, sijui mila amalize mwenyewe hukohuko.
 
Mara ndugu sijui waende wapi mara wapelekwe sijui kwa nani.....mambo lukuki hadi ndoa inaisha uko hoi! Mweeeee....mie hapana ngoja nisubiri subiri kwanza labda ajilete mwenyewe twende bomani then church, tena huko kwa wazazi wake akamalize mwenyewe mie ntampa mpunga tu apeleke mambo ya sijui kupigana faini, sijui mila amalize mwenyewe hukohuko.[/QUOTE]

Nashukuru nimeanza siku kwa kicheko lol!
 
1.hali ngumu maisha. 2.ndoa nyingi hazina mvuto uaminifu ni mdogo 3.ubachela ni UTAMUUU...
 
Vya kuolewa havipo tayari kuolewa,vinachotaka ni kucheza kiduku tuu,na vyakuoa havijapata sababu ya kuvioa,kwasababu vyakuolewa vingi ni vyakupretend!!!!
 
Wakaka wengi waoga wa maisha PERIOD! wanaona kutunza ndoa ni expensive! na nowdayz wako very strategic like ladies wanataka wadada wenye maisha mazuri already! wengine wanatamani sana kuoa wakipata right candidate ila gharama za kuoa zinawazingua! Ila pamoja na kupata ngono wanavyotaka, wanazaliwa watoto na desperate women bado nadhani wanatamani sana kuwa a woman whom he can call wife!
Ukiacha uplayer wengii wanaogopa gharama. Coz kama nimeona wakaka familia bora wanaoa haraka kuliko kaka zetu wa average family! as bado wanatafuta.
 
5.waolewaji wameisha wamebaki wa kuliwa uroda tu
6.kuoa ni kujiongezea matatizo
7.wanawake wengi wanasema wanataka kuolewa ili kuondoa nuksi,ukishamuoa atakufanyia vituko wee hadi ujute kwa nini umeoa ndo maana mda mfupi tu ndoa inavunjwa.mfano;
sasa hivi karibia ramadhani tutaoa sana baada ya miezi 3 wanawake wataanza kurudi makwao eti wamechoka ndoa.mia

Hiyo namba 5 hapo kumbuka hata "dada zako ni wanawake"
 
Wengi wanakuwa hawajapata right candidates. I am sure 100% siku wakipata right candidates watatamani waoe, regardless of their income and others.... believe me
 
Aiseee....kama ulikuwepo vile, mimi mwenyewe hata sijui kwanini sijaoa/siowi mpaka sasa. Tena wala sijisikii hamu ya kufanya hivyo na wala sina hofu kwanini sijaoa mpaka sasa. Labda wataalam mtutajie umri wa mwisho kuoa labda ntaogopa nifanye fasta. Though ndoa za siku hizi macomplications kibao(vikao, kamati, ukumbi, michango, sijui suti, saloon, vyakula, vinywaji, kadi, sijui ninini na ninini tena) mambo kibao hata kuanziasha kampuni kuna nafuu!
Mara ndugu sijui waende wapi mara wapelekwe sijui kwa nani.....mambo lukuki hadi ndoa inaisha uko hoi! Mweeeee....mie hapana ngoja nisubiri subiri kwanza labda ajilete mwenyewe twende bomani then church, tena huko kwa wazazi wake akamalize mwenyewe mie ntampa mpunga tu apeleke mambo ya sijui kupigana faini, sijui mila amalize mwenyewe hukohuko.

Umezoea vya mteremko,rahisi aghali!
 
Suala la ndoa ni la kupanga si ajali. It reaches a point when kama hujaoa au kuolewa wewe basi jua hutafanya hivyo tena. Na sababu kubwa hasa kwa wanaume ukimkuta amefikisha 40 hajaoa jua anaweza kuwa muoga wa maisha au mbinafsi au mchoyo. Kwa hiyo tabia hizo haziishi kwa miaka kuongezeka bali zinazidi kuwa sugu.

Ni sawa na mtu aliyekimbilia nje ya nchi na kugundua kuwa maisha mazuri yako bongo. Ni rahisi sana kwake kurudi miaka ya mwanzo akishakaa zaidi anaanza kuwa na woga wa kuanza maisha mapya nyumbani.

Kwa wadada ukishafika miaka 35 bila mume basi hata utakaokutana nao wataishia kukuchezea tu kwani watajiuliza ni nini kilichokusibu mpaka ulokuwa nao before wamekataa kujicomit. Ni wachache sana wanapata right partner at that late age.

If you want to get married whether you are a man or woman don't ever hang around with wrong partner kwani relationship yenu haitawapelekea kuoana kwani unajua for sure he/she has no qualities you need. It's better to be single than having a wrong partner. Ni kuwekeana kauzibe na kupotezeana muda.
 
Back
Top Bottom