Kwanini wanaume siku hizi hawaoi haraka? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini wanaume siku hizi hawaoi haraka?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mparestina, Jun 5, 2011.

 1. m

  mparestina Member

  #1
  Jun 5, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wana jf naomba mnisaidie hil nielewe mchakato mzma.
   
 2. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #2
  Jun 5, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  muoaji anaweza kuoa tu mara pale atakapomwona mwolewaji,
  sasa kumpata huyo mwolewaji ndo kasheshe.........................lol...
   
 3. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #3
  Jun 5, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  <br />
  <br />
  Mchakato gani wautaka weye kuoa au jinsi ya kumpata muolewaji?
   
 4. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #4
  Jun 5, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  <br />
  <br />
  Wewe nikikumata?!!
   
 5. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #5
  Jun 5, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  hebu msaidie huyo muoaji bana..................
   
 6. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #6
  Jun 5, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  hamna kuoa siku hizi maisha mafupi
   
 7. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #7
  Jun 5, 2011
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  kama unaweza kupata glass ya maziwa kibandani ukapoza kiu!ya nn ufuge n'gombe?
   
 8. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #8
  Jun 5, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Hahahahahaaaa, sounds like true!!
   
 9. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #9
  Jun 5, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  mtindi au fresh......?
   
 10. vunjo

  vunjo Member

  #10
  Jun 5, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 93
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  Kuoa ni kujipanga sio kukurupuka na uaminifu siku hizi ni F sasa mpaka umpate wa ukwel anaefaa mbinde.
   
 11. Y

  Yakuonea JF-Expert Member

  #11
  Jun 5, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 601
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Unasikia majibu ya walio chelewa kuona lkn.........haya bana

   
 12. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #12
  Jun 5, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,775
  Likes Received: 83,115
  Trophy Points: 280
  Kujiandaa ili kuweza kuhimili gharama kubwa za maisha ya ndoa, kutokuwa na mchumba ambaye muoaji anaona anastahili kuolewa naye, Wanaume wachakachuaji ambao labda baada ya kuumizwa kimapenzi au kusikia/kuona ndugu, rafiki au jamaa aliyeumizwa kimapenzi hivyo kuamua labda hawataki kuoa tena au kutoona umuhimu wa kuoa mapema.
   
 13. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #13
  Jun 5, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Mimi sijui, japo ni miongoni mwa wasiooa lakini sina majibu........ngoja niendelee kusoma majibu ya wenzangu. Swali langu ni upi umri sahihi wa kuoa? Je kuchelewa kuoa ni pale mwanaume anapofikisha miaka mingapi?
   
 14. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #14
  Jun 5, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135


  Parachichi unaweza ukafuga ng'ombe na bado,
  ukaendelea kuonja maziwa ya kibandani.......
   
 15. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #15
  Jun 5, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,807
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  kwa sababu wanajihusisha na ngono wakiwa wadogo sana,hivyo hawaoni umuhimu wa kuoa......:whistle:
   
 16. Kitty Galore

  Kitty Galore JF-Expert Member

  #16
  Jun 5, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 347
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  hii pia inaapply kwa upande wa pili, kama utaweza kupata sausage zenye flavour tofauti kama spiced, chilli nk, ya nini kufuga nguruwe mzima
   
 17. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #17
  Jun 5, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  kama unataka kutajirika na kuwa na neema fanya uoe.
   
 18. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #18
  Jun 5, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  mhhh! Sio kinyume chake?
   
 19. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #19
  Jun 5, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  wewe umeoa? kama bado kwa nini bado?kama umri mdogo kwa nini unauliza ili iweje, kama huna cash..
   
 20. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #20
  Jun 5, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Kuoa watu hutangaza??? Muda ukifika tu mwake......halafu wewe nimekwambia rudisha ile signature ya zamani husikiii sijui ukoje hii haina mshiko ya nyuki mie penda ile ya zamani bana do the needful kindly i beg you right???
   
Loading...