Kwanini wanaume mnapenda kutuzungumzia sana

Kwanini wanaume mnapenda kutuzungumzia sana

vyuoni, mashulenin kwenye mitandao ya kijamii ata apa jf lazima mtuzungumzie hasa kututoa kasolo kwani tumewakosea nn mbona wanawake atuanzishi topic zakuwaponda wanaume kiukweli mnaboa ila tambueni sisi ni mama zenu.

Ni Kasoro sio kasolo..
 
sikilizeni nyie wa ubavu wetu kwanza mkumbuke kuwa mme umbwa kwa ubavu wetu wakushoto ndomana nyie n wadhaifu ss wanaume tukikaa tunazungumzia jinsi gani ya kuwa saidia nyie hili muondokane na tamaa na kushauriana ujinga mnao shauriana kwaiyo mwanaume anapo kaa na mwanaume mwenzake wanapanga ni vipi wataweza kuwatuliza wanawake wao kwa sababu nyie mwanawake hamja kamilika mnatamaa sana za maisha na mafanikio ya haraka huwa akili zenu zina waza mbele tu aziangalii nyuma wa pembeni kama kuku
 
vyuoni, mashulenin kwenye mitandao ya kijamii ata apa jf lazima mtuzungumzie hasa kututoa kasolo kwani tumewakosea nn mbona wanawake atuanzishi topic zakuwaponda wanaume kiukweli mnaboa ila tambueni sisi ni mama zenu.

Mama yetu hebu jifunze kuandika vizuri na usichukie kuanzishiwa topic kila siku.
Jungu kuu halikosi ukoko.
 
Safi sana kimwana...ningependa kuchukua nafasi kukumbushia safari yetu ya kuelekea kileleni mwa mlima kilimanjaro chini ya udhamini wa kibubu changu.....

Wasiwasi wako ndio maradhi yako nini shida tena si tumekubaliana au
 
Kuna mtu alisema humu humu akili zao zinapungua kama nanii inavyonanii kila •••••••••••ik ama umenielewa sawa•nadhani wanaume wote mmeelewa
 
kuanzia tareh 1 mpaka leo kuna topic zaidi ya kumi zinazozongumzia wanawake kiukweli mnaboa

kwa vile ww ni mgeni labda utusaidie huenda ww wakakusikia ila sie wenzio tulishasema hd tukachoka.
 
Ni maneno tu hata kwenye kanga yapo...wasiwakoseshe raha hao kina ME
 
vyuoni, mashulenin kwenye mitandao ya kijamii ata apa jf lazima mtuzungumzie hasa kututoa kasolo kwani tumewakosea nn mbona wanawake atuanzishi topic zakuwaponda wanaume kiukweli mnaboa ila tambueni sisi ni mama zenu.

Tusipo wazungumzia mnaenda mlingotini kwa fundi
 
Duniani mambo ya kujadiliwa ni mawili tu, Pesa na wanawake.
 
The painfull truth ni kwamba starehe kubwa ya wanaume ni wanawake so ikitokea kuna mapungufu yeyote kwa kiburudisho lazima wanaume walalame japo sikubaliani na wanaume wanaoongelea vibaya wanawake siku zooooteas if hakuna jema wanalofanya... Lakin pia wanaume wengi ni extrovet wanaweka mambo wazi mfano kama mwanamke anakojoa kitandani mwanaume atasema na topic ataanzisha kwenye mitandao wakati mwanamke atavumilia hata shoga yake hamwambii

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Tttz la la hawa viumbe bhana mkoo umajikuta kwa we know each n every thing mnafanya as if kama it's just a norma bila ya kutambua kuwa kama mnawaumiza wenzune wenye mioyo kama nyinyi tu sema mmetofautiana baadhi ya vitu....kama wew ujawahi kulalamikiwa ujue wew huna shida ila kun wenzako wamevujata Ugoro na masiko unataka kulijua balaa lake muulize @masai dada atakuambia
 
Nyie ni watu wa ajabu sana. Hamjiamini, mnaamini hamuwezi bila wanaume! Mnapenda utegemezi, hamuaminiki katika mambo makubwa na muhimu, mnatumiwa, mnarahisisha mambo, mnapendeze na kukaa zaidi ya saa kujiremba ili tuwaone tu zaidi na zaidi tunawahitaji katika maisha yetu ya kila siku..

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom