Kwanini wanaume mnapenda kutuzungumzia sana

Kwanini wanaume mnapenda kutuzungumzia sana

Wakati mwingine ukimuwaza mwanamke...utaona afadhali nyumbani kwako ufuge kuku au mbuzi kuliko kuishi na hawa viumbe sura zao ni tofauti na akili zao..

mmmh!! Umeenda mbali sana mkuu,, kweli wanawake wanasumbua lakn yakupasa kuishi nao kwaakili sana,,,
japo wanakera lakn ni kiungo muhim sana
 
vyuoni, mashulenin kwenye mitandao ya kijamii ata apa jf lazima mtuzungumzie hasa kututoa kasolo kwani tumewakosea nn mbona wanawake atuanzishi topic zakuwaponda wanaume kiukweli mnaboa ila tambueni sisi ni mama zenu.

Kwel nyinyi mama zetu,dada zetu ,wakezetu,bibizetu,lkn si wenzetu,
 
Ukiona hivyo kuna tatizo linatakiwa lilekebishwe na kusemwa kukiendelea ujue halijarekebishwa kama sio kuachwa. Tena mfurahi maana mnajifunza vitu kupitia sisi tukinyamaza hali itakuwa mbaya, supati picha dunia ingekuwa ya wanawake tupu nahisi hata magari yasingekuwepo. Mmeona wanaume tunapenda ma.kalio basi bize kupaka makemikali ya kichina, nisiongee sana
 
mmmh!! Umeenda mbali sana mkuu,, kweli wanawake wanasumbua lakn yakupasa kuishi nao kwaakili sana,,,
japo wanakera lakn ni kiungo muhim sana

Kweli mkuu....hawa viumbe sijui wapoje...by the ngoja tumuachie Mungu.....
 
Duh! Mkuu umenifanya nicheke

Mkuu sio ya kucheka haya...unahitaji ujitoe fahamu na moyo wa karatasi ili uweze kuishi na hawa viumbe....maana ukijifanya kutumia sana akili unaweza ukashikwa na dege dege au presha au hata kupalalaizi upande mmoja....na ukatangulia mbele za haki..
 
Ni.ngumu kwa kuwa tupo jinsia mbili.. na moja ni super kuliko nyingine ..so weak lazima ionewe
 
Ukivaa nguo nzuri akupendae hasemi umependeza ila mkitoka "si uvae ile nguo ya njano" akili kumkichwa kua inakupendeza, ila kila akitaka kukusifia domo linakua zege.
Wanajua bila sisi hawajakamilika, wanatupenda, ila kutupa sifa wanaona tutafaidi saaanaaaa, hivyo wanaishia kuwa negative na sisi lakini wanajua umuhimu wetu kwao.
Isikuume my dear, ndivyo walivyo viumbe hawa.
Wanatusema sana vile wanatukubali.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
  • Thanks
Reactions: OR7
vyuoni, mashulenin kwenye mitandao ya kijamii ata apa jf lazima mtuzungumzie hasa kututoa kasolo kwani tumewakosea nn mbona wanawake atuanzishi topic zakuwaponda wanaume kiukweli mnaboa ila tambueni sisi ni mama zenu.

Kwa sababu shida nyingi duniani chanzo chake ni ninyi.
 
Tunawasema kwa kuwa hamuelewi...na bwana MUNGU ametuagiza tuishi nanyi kwa akili na kwa machale kwa kuwa akili zinawatosha nyie wenyewe na pia kuna wakati huwa zinawaponyoka....

acha generalization, labda ukoo wenu! Mimi mama yangu, dada zangu na wote wa kike katika ukoo wetu wako very smart upstairs. Kwahiyo kama mama ako zinamponyoka nini yeye tu!
 
  • Thanks
Reactions: kui
Back
Top Bottom