Kwanini wanaume mnapenda kutuzungumzia sana

tatizo dogo utakuta mtu kaanzisha topic jf

humu ndani kuna wavulana na wanaume dont take things seriously
just ingia huku for fun usiendeahe maisha yako kwa coment za humu...acha waongee tu wala usijali
KWANI HUMU NDANI TUNALIPWA kwamba wakikuzungumzia mwisho wa mwezi hupatai ela au utakatwa mshahara?

dont take it personal my dada
 
  • Thanks
Reactions: OR7
Bila kuzungumzwa nyie maisha hayaendi....
 
vyuoni, mashulenin kwenye mitandao ya kijamii ata apa jf lazima mtuzungumzie hasa kututoa kasolo kwani tumewakosea nn mbona wanawake atuanzishi topic zakuwaponda wanaume kiukweli mnaboa ila tambueni sisi ni mama zenu.

jitathimini alafu pima na mada je zinalenga au huongo?
 
humu ndani kuna wavulana na wanaume dont take things seriously
just ingia huku for fun usiendeahe maisha yako kwa coment za humu...acha waongee tu wala usijali
KWANI HUMU NDANI TUNALIPWA kwamba wakikuzungumzia mwisho wa mwezi hupatai ela au utakatwa mshahara?

dont take it personal my dada

tunajadili tunajifunza pia so mtu kama mimi najifunza hili siku nimepata wa kuishi naye hawezi niongopea hata hakiongopa nitatambua tu. kweli wanawake mnamapungufu tena mengi tu
 
Kwahyo mnataka tumzungumzie nani?
. Ukiona watu wanakuzungumzia sana ujue wanakukubali
. Tambuen kuwa kila penye furaha ya mwanaume mwanamke yupo katkat, jambo la kuwasema wala lisiwape shida.
. Kuna baadhi ya wanaume asipotaja mwanamke siku haiendi
Khantwe shahidi wa hilo.
 
Last edited by a moderator:
Kwa mini tusiwazungumze ilhali mmeumbwa kutokana na ubavu wetu? Na mmewekwa cjoni ya mamlaka yetu?
 
vyuoni, mashulenin kwenye mitandao ya kijamii ata apa jf lazima mtuzungumzie hasa kututoa kasolo kwani tumewakosea nn mbona wanawake atuanzishi topic zakuwaponda wanaume kiukweli mnaboa ila tambueni sisi ni mama zenu.

Kama vipi mngetumia na ubini wa mama dhenu kama unaona baba ni kitu cha kuchezea chezea
 
Tunawasema kwa kuwa hamuelewi...na bwana MUNGU ametuagiza tuishi nanyi kwa akili na kwa machale kwa kuwa akili zinawatosha nyie wenyewe na pia kuna wakati huwa zinawaponyoka....

Mnatakiwa kuishi na sisi kwa akili...huku kutusemasema je ni dalili kwamba akili zenu zimefika mwisho?
 
Tunawasema mara kwa mara kuwa kadri umri wenu unavyokwenda ndio akili zinahamia miguuni badala ya kichwani...kwa hiyo yatupasa kuwasema ili kuwakumbusha namna mambo yanavyopaswa kuwa..na ndio maana sisi tukawa viongozi wenu....na tutawaongoza mpaka mwisho wa dunia...
 
Wakati mwingine ukimuwaza mwanamke...utaona afadhali nyumbani kwako ufuge kuku au mbuzi kuliko kuishi na hawa viumbe sura zao ni tofauti na akili zao..
 
vyuoni, mashulenin kwenye mitandao ya kijamii ata apa jf lazima mtuzungumzie hasa kututoa kasolo kwani tumewakosea nn mbona wanawake atuanzishi topic zakuwaponda wanaume kiukweli mnaboa ila tambueni sisi ni mama zenu.

Toa mifano hai ata miwili tu ili wengine tukuelewe. Kasoro hizo ni zipi?
 
vyuoni, mashulenin kwenye mitandao ya kijamii ata apa jf lazima mtuzungumzie hasa kututoa kasolo kwani tumewakosea nn mbona wanawake atuanzishi topic zakuwaponda wanaume kiukweli mnaboa ila tambueni sisi ni mama zenu.

Hata nyinyi hamuishi kutuzungumzia sisi maana sisi ndo tuko tofauti na nyie.

Tambueni sisi ni baba zenu.
 
Kwahyo mnataka tumzungumzie nani?
. Ukiona watu wanakuzungumzia sana ujue wanakukubali
. Tambuen kuwa kila penye furaha ya mwanaume mwanamke yupo katkat, jambo la kuwasema wala lisiwape shida.
. Kuna baadhi ya wanaume asipotaja mwanamke siku haiendi
Khantwe shahidi wa hilo.

Kama wewe usipontaja nahisi hulali
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom