agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,414
- Thread starter
- #21
Kukaa kimya ni jibu zuri sana.Mie naona mnavyoandika thread ya kulia lia ndio mnazidi kuwapa kichwa ila mkinyamaza na kuwapuuza nahisi wataacha.Kwa hali ya kawaida tu ukiwa unamsema mtu yeye hakujibu utasemaa weee mwishoni utanyamaza mwenyewe na kujiona mjinga.Ila kwa hali hii ligi haitaisha
kweli ila uvumilivu una mwisho wake