Kwanini wanaume mnapenda kutuzungumzia sana

Kwanini wanaume mnapenda kutuzungumzia sana

vyuoni, mashulenin kwenye mitandao ya kijamii ata apa jf lazima mtuzungumzie hasa kututoa kasolo kwani tumewakosea nn mbona wanawake atuanzishi topic zakuwaponda wanaume kiukweli mnaboa ila tambueni sisi ni mama zenu.

Wanakuaga wanatupenda ila wanashindwa kutuambia si unajua maneno ya mkosaji tena , akikukonyeza akiona umempotezea anakupush makusudi , nikuwasamehe tu
 
Hata kama ni mama yangu lakin nyie sio watu wazuri hata tone, inatubidi tuwaongelee sana ili kujiadhari na upungufu wenu wa akili ambao ni asili yenu na ikizingatiwa mna ushawishi juu yetu kwa hivyo tusipokua makini tutaingamiza dunia na wakuulizwa ni sisi,
Hapa nilipo nna uchungu ulio nipelekea kutokwa na machozi kwa ajili yenu nyie wanawake! Acha tu nisiseme lakini
 
acha generalization, labda ukoo wenu! Mimi mama yangu, dada zangu na wote wa kike katika ukoo wetu wako very smart upstairs. Kwahiyo kama mama ako zinamponyoka nini yeye tu!

Mkuu mama yangu kaingiaje hapa...kumbuka huu ni mjadala na kila mtu anachangia kwa maoni yake...kutofautiana kimaoni isiwe sababu ya wewe kunitukania mama yangu.......
JIHESHIMU..
 
Wakati mwingine ukimuwaza mwanamke...utaona afadhali nyumbani kwako ufuge kuku au mbuzi kuliko kuishi na hawa viumbe sura zao ni tofauti na akili zao..

Wow!,.....Mkuu, kwa heshima na taadhima, na wewe utajiita mwanaume rijali?!
 
Mkuu mama yangu kaingiaje hapa...kumbuka huu ni mjadala na kila mtu anachangia kwa maoni yake...kutofautiana kimaoni isiwe sababu ya wewe kunitukania mama yangu.......
JIHESHIMU..

Wakati mwingine mtu inabidi akujibu kutokana na upeo wa maoni yako
 
Mm naona umeandika thread nzuri ila hapo mwisho tu ndio umeharibu. Hapo uliposema kuwa nyie ni mama zetu , nadhani hiyo ungetoa tu , haina mahusiano yoyote. Mama ina maana kubwa....
 
vyuoni, mashulenin kwenye mitandao ya kijamii ata apa jf lazima mtuzungumzie hasa kututoa kasolo kwani tumewakosea nn mbona wanawake atuanzishi topic zakuwaponda wanaume kiukweli mnaboa ila tambueni sisi ni mama zenu.

Kwa sababu mnaringaga na vi vitu vyenu kwanza vina chumvi halafu jua likiwa kali mchana cinatoa harufu flani hiviiii kaliii mbayaaa halafu mnjishebeduaaaa as if mmebeba lulu kama sio dhahabu. Hamjui tunawaoneha huruma tuu ndio maana tunawaombaga tuwasugue kuwapunguzia ukwadu kwa kuweka huko hizi dawa zitokazo kwenye migegedo yetu... Eti halafu mbajiona mwemwerreee waaaaiii!!!
 
vyuoni, mashulenin kwenye mitandao ya kijamii ata apa jf lazima mtuzungumzie hasa kututoa kasolo kwani tumewakosea nn mbona wanawake atuanzishi topic zakuwaponda wanaume kiukweli mnaboa ila tambueni sisi ni mama zenu.

sisi ni baba zenu
 
kweli hamuanzishi topic za kutusema eeeeeeeee? tafuta topic humu ndani utaziona za kutoshaaa.

pia sisi hatuanzishi topic za kuwasema ila nyie ndio mnaoanzisha topic za kusemwa, sasa kama hii topic umeanzisha mwenyewe ona kinachoendelea sasa!!!!!
 
Hasa wanawake wa kichaga ndo balaa kila cfa mbovu wansemwa wao kasoro kutoa mtandao wetu huu wa joti
 
Mkuu mama yangu kaingiaje hapa...kumbuka huu ni mjadala na kila mtu anachangia kwa maoni yake...kutofautiana kimaoni isiwe sababu ya wewe kunitukania mama yangu.......
JIHESHIMU..

unapotoa comment fanya hivyo kwa akili na pia ujiheshimu, bila shaka hata wengine watakuheshimu pia. nimefanya makusudi ili kukuonyesha comments zako zaweza kugusa hisia za wengine pia. jaribu kuichunguza hiyo comment yako niliokujibu na utaona umewatukana wanawake wote including mama yangu kwa kuwa pia nae ni mwanamke. so be careful brother!!!!!!!
 
Hasa wanawake wa kichaga ndo balaa kila cfa mbovu wansemwa wao kasoro kutoa mtandao wetu huu wa joti

Sure. Mti wenye Matunda hupigwa Mawe. Wanawake wa kichagga wako strong sana. Ipo kama vile hawana kasoro kulinganisha na wanawake wa makabila mengine. That is why wanatafutiwa vikasoro ili waonekane wa kawaida.
 
Ukiona unazungumziwa jua upo bomba wangu, hii kwa wanaume ni kama lazima maana nyie ni maua yetu, na tutawazungumzia sana tu!
 
Back
Top Bottom