Kwanini wanaume mnapenda kutuzungumzia sana

Hili lalamishi lilikuepo mwaka jana..... Wamegoma kubadilika
 
kuanzia tareh 1 mpaka leo kuna topic zaidi ya kumi zinazozongumzia wanawake kiukweli mnaboa
 
Badala ya kuona tunaboa tazama na Pima kama kasolo hizo ni za kweli au la halafu jitathimini mwenyewe.
 
Asilimia kubwa ya mambo tunayofanya ni kwa ajili yenu, tunakwenda shule, tunatafuta Fedha, tunapata mateso, tunaweka roho mikoni. Yote hayo ni kwa ajili yenu, sasa kivipi tusiwazungumzie? Isitoshe aina ya binadamu ni 2 tu, ke na me, kwa hiyo hakuna jinsia nyingine ya kuizungumzia zaidi ya ke.
 
Kwahiyo nyinyi ni wakamilifu?
Halafu cha kuchekesha mada ni zilezile sijui mmekuaje.
 
kasolo nyingi zakutunga

Mi ninavyo ona kasoro zinatofautiana kitoka mwanamke mmoja mpaka mwingine. Pia wanawake wakati mwingine mna behave tofauti na mlivyo takiwa kua. Unajua ninyi ni watu mihimu sana katika dunia hii na ndiyo maana kosa dogo tu linavuma.
 
Hamuwezi Kutuzungumzia Kwakuwa Makosa Yenu Wanawake Wote Yanafanana Ndo Maana Mpo Kimya
 
Asilimia kubwa ya mambo tunayofanya ni kwa ajili yenu, tunakwenda shule, tunatafuta Fedha, tunapata mateso, tunaweka roho mikoni. Yote hayo ni kwa ajili yenu, sasa kivipi tusiwazungumzie? Isitoshe aina ya binadamu ni 2 tu, ke na me, kwa hiyo hakuna jinsia nyingine ya kuizungumzia zaidi ya ke.

Mmh.... na sie hayo tunapitia na zaidi tunaenda leba.
Wenyewe mmekwepa majukumu, tukiwapiku mnalalamalalama humu.
 
Tunawasema kwa kuwa hamuelewi...na bwana MUNGU ametuagiza tuishi nanyi kwa akili na kwa machale kwa kuwa akili zinawatosha nyie wenyewe na pia kuna wakati huwa zinawaponyoka....

Ukiishi na mimi kwa machale utafurahi na roho yako
 
Kukaa kimya ni jibu zuri sana.Mie naona mnavyoandika thread ya kulia lia ndio mnazidi kuwapa kichwa ila mkinyamaza na kuwapuuza nahisi wataacha.Kwa hali ya kawaida tu ukiwa unamsema mtu yeye hakujibu utasemaa weee mwishoni utanyamaza mwenyewe na kujiona mjinga.Ila kwa hali hii ligi haitaisha
 
Tunawasema kwa kuwa hamuelewi...na bwana MUNGU ametuagiza tuishi nanyi kwa akili na kwa machale kwa kuwa akili zinawatosha nyie wenyewe na pia kuna wakati huwa zinawaponyoka....

Afadhali umewaambia ukweli.
 
jirekebishen jaman toeni kasolo inapotakiwa siyo kila muda mnazungumzia wanawake tu
 
Kukaa kimya ni jibu zuri sana.Mie naona mnavyoandika thread ya kulia lia ndio mnazidi kuwapa kichwa ila mkinyamaza na kuwapuuza nahisi wataacha.Kwa hali ya kawaida tu ukiwa unamsema mtu yeye hakujibu utasemaa weee mwishoni utanyamaza mwenyewe na kujiona mjinga.Ila kwa hali hii ligi haitaisha

Kabisaaa! Na zile thread zao za kuwajadili wanawake ni kufanya kama huzioni.
 
Wanawake ni viumbe complecated sanaaa acha tuh ......xo lazma tuwsjadili ImageUploadedByJamiiForums1420368428.968489.jpg
 
Back
Top Bottom