Wanakuaga wanatupenda ila wanashindwa kutuambia si unajua maneno ya mkosaji tena , akikukonyeza akiona umempotezea anakupush makusudi , nikuwasamehe tu
ni kweli usemacho.....Akili haisemi....inatenda tu. Ukiona mtu anapiga makelele kichwani empty
Mtuwachee....
Wanawake ni viumbe complecated sanaaa acha tuh ......xo lazma tuwsjadili View attachment 215862
Kwa sababu hamueleweki ndo maana kila siku tunawaongelea labda tunaweza tukawaelewa maana mpo na akili mbaya....!!!kifupi hamsomeki na nyinyi ndio chanzo cha majanga!!Vyuoni, mashuleni na kwenye mitandao ya kijamii hata hapa JamiiForums lazima mtuzungumzie hasa kututoa kasoro kwani tumewakosea nini mbona wanawake hatuanzishi topic zakuwaponda wanaume kiukweli mnaboa ila tambueni sisi ni mama zenu.
Tunawasema kwa kuwa hamuelewi...na bwana MUNGU ametuagiza tuishi nanyi kwa akili na kwa machale kwa kuwa akili zinawatosha nyie wenyewe na pia kuna wakati huwa zinawaponyoka....