Shika adabu yakokadada tatizo ni kwamba hilo dume linatabia za mbwa.
Nashangaa ni kwanini mnayalea lea majitu kama haya.
Hili swala ni mtambuka. liko pande zote mbili. ni ukweli usiopingika kuwa kuna baadhi ya wanaume walioa wanachepuka lakini pia wako wanawake waliolewa wanachepuka. Mambo ya mahusiano mara nyingi huwa hayana majibu ya jumla kwa maana kila case inakuwa tofauti sana. Wanaotulia wana sababu za kutulia na wanaotoka nje ya ndoa wana sababu za kutoka nje ya ndoa. lakini kwa asilimia wanaume wengi huwa wanatoka kulinganisha na wanawake kwasababu wanaume huwa wanavutika kwa maumbile ya nje kulinganisha na wanawake.Unakuta mwanaume ameoa mke ni mzuri wa sura shepu na sifa nyingi ..Lakini bado macho haya pazia .... Ni kwanini asilimia kubwa ya wanaume hawapendi kutulia indeed na wake zao?? tusaidiane wadau
Sawa....naona sasa hivi umeamua kutueekea picha tuone bunyanga kbs![]()
![]()
haya bwana Mimi sitaki maneno maneno,yamekwisha
Unanichunguza sasa, hebu acha kijana tuache wazee tumalizie uzee wetu kwa usalamaSawa....naona sasa hivi umeamua kutueekea picha tuone bunyanga kbs
Kwenye child psychology wanasema vijana wa kiume wengi wanaopenda kuzurura mtaani utakuta mazingira ya nyumbani kwao hayajatulia, nyumba inapokuwa shaghala baghala vijana wengi wanaamua kufanya nyumbani ni sehemu ya kulala tu, muda mwingi wanautumia na vijana wenzao mtaani. Hii ninaona inareflect wa wanaume pia.
Ngoja nije pmUnanichunguza sasa, hebu acha kijana tuache wazee tumalizie uzee wetu kwa usalama
Ngoja nije pm
I'm getting jealous now.Ngoja nije pm
Don't be like that, he is toothlessI'm getting jealous now.
HeheheheheDon't be like that, he is toothless

Usipende kurudisha yaliyopitaHehehehehe
R u comparin me wit HR?!![]()
Mimi husamehe hapo hapo nikishasema, sina kinyongo cha muda mrefu maana kinyongo na chuki ni uchafu wa moyoUmeshamsamehe....![]()
Mbona kichwa cha habar kingine na yaliyomo ndan mengineUnakuta mwanaume ameoa mke ni mzuri wa sura shepu na sifa nyingi ..Lakini bado macho haya pazia .... Ni kwanini asilimia kubwa ya wanaume hawapendi kutulia indeed na wake zao?? tusaidiane wadau
SawaMimi husamehe hapo hapo nikishasema, sina kinyongo cha muda mrefu maana kinyongo na chuki ni uchafu wa moyo