Kwanini wanaume hawatulii na wake zao?

Kwanini wanaume hawatulii na wake zao?

Hadi umeamua kuoaa hayo majanga hayaonekani
Mnaanza majanga mkishawekwa ndani. Wale wengine hawana majanga maana wanajua hatuwaoi. Ila naona nanyi wanawake hamjielewi eti mwanamke anaridhika kuwa na mume wa mtu!
 
Na pia tumia neno "baadhi" kuna wanaume wengine wana heshima zao na akitulia na mkewe ametulia kweli...mifano iko mingi hata humu jamii.forum hata leo nmesoma thread moja ya mwanaume alietulia na mkewe licha ya upside downs lakin mwnanaume kasimama nae mwanzo mwisho.

Hao wa macho.hayana pazia ni tabia yake binafs..tabia ya mtu binafsi ya kufungua zipu kwa kila mwnaamke sio ya wote ni yake binafsi. Ndio kaamua kua hivo, ndio maisha yake. There are still good women and men out there.
HV ujui kwan mwanaume karuhusiwa kuwa na wake zaidi ya mmoja lakin si mwanamke
 
Ameejaliwa kupata mwenye sura na shepu tena sii hivyo na tabia nzuri...Lakini bado kutosheka ... Nini tatizo
Shida ni kwenye 6*6 wewe unakua haupo hapo so hujui kinachoendelea. Wengi wakishaolewa hawataki kujisumbua. Kukupa mpaka ajisikie yeye. Visingizio kibao.
 
Men are polygamous by nature. Kubali kataa. Mwenye kuruhusiwa na dini yake na masharti yake atayaweza basi aongeze mke/wake ili ladha tofauti anazotafuta apate ndani ya ndoa.

Kwa wengine ambao hawana mpango huo na bado wanatoka nje basi muhimu ni kucheza kwa step. Mheshimu mkeo. Mlinde kutokana na maradhi, mlinde kutokana na maumivu ya kugundua kuwa unatoka nje ya ndoa.

Ilinde familia yako kutokana na kusambaratika ama kubaki wakiwa ukifa kwa maradhi.

Na sidhani kama haya yote munayafikiriaga when the heat is on.
 
kuvurugwa kwa mapnzi zama hizi n kawaida ... Ukigundua kazi ya halali ya moyo bas inabdi utulize akili...
Kama mumeo kapiga mechi ya kimataifa halaf umejua omba mungu asiwe kanogewa huko utapata tabu kwnda kujiangalia kwny kioo halaf ukasema una shape nzuri haisaidii kitu
 
Back
Top Bottom