Kwanini wanaume hawatulii na wake zao?

Kwanini wanaume hawatulii na wake zao?

Nashangaa wakati ndoa ni utulivu lakini wengine wasema hatuja Umbwa kutulia mimi kubwa naliona ni Athari za kisaikolojia baadhi yao.
 
Ndivyo walivyoumbwa kutulia hawawez,
Kinachowasukuma ni tamaa lakin mapenzi ya kweli yapo kwa mke.
 
Unakuta mwanaume ameoa mke ni mzuri wa sura shepu na sifa nyingi ..Lakini bado macho haya pazia .... Ni kwanini asilimia kubwa ya wanaume hawapendi kutulia indeed na wake zao?? tusaidiane wadau
* kwa nn wanaume hawatulii na wake zao*
Kwa nn wanaume hawatulii kwa wake zao*
Tafakari hivyo
 
ukiona hivo ujue kuna wanawake hawatulii na waume zao
 
Ndivyo walivyoumbwa kutulia hawawez,
Kinachowasukuma ni tamaa lakin mapenzi ya kweli yapo kwa mke.
bila shaka kama lips na midomo yako iko hivyo basi hapana shaka sura yako ni zaidi ya niifikilavyo kwa maana hiyo kama ungekatisha mbele yangu nisingekuacha upite hivi hivi bali ningekualika pale nyota 5 tupate lunch.
 
Unakuta mwanaume ameoa mke ni mzuri wa sura shepu na sifa nyingi ..Lakini bado macho haya pazia .... Ni kwanini asilimia kubwa ya wanaume hawapendi kutulia indeed na wake zao?? tusaidiane wadau
Nikweli unavyosema ila ukiona wanaume hawatulii unanishangaza maana hata wanawake hawatulii kama wanawake wangetulia hata wanaume wangetulia maana wote huingiliana mwanaume hawez kua malaya kama hakuna mwanamke malaya ...

Nikufundishe kitu au nikuulize kitu:-

unataka kusema hao wanawake wanaofatwa na wanaume zawatu hawana waume zao..? nakama wana waume zao kwanini wawe nawaume zawatu maana mimi naamini kila mwanamke mwenye umri zaidi ya 23year lazma ana mpenzi wake sasa inakuwaje aanzishe tena mahusiano namume wamtu halafu leo hii aweke mada humu kwamba wanaume hawatulii nawake zao sasa kwanini wanawake wao hawatulii na wapenzi wao....

....NIMECHUKIA.....
 
Wengine wanamaliza hata mwezi hawajapata k pamoja na wake zao kuwa wazuri wa shepu lakini kupewa k ni ratiba sasa kama ni ratiba unategemea nini??
 
Mis Lemich jana kuna madam amepost uzi unaofanana na wako nikatoa mchango wangu pale kwa kirefu. Ila ninachoamini mm yawezekana umrtoa uzi hapa ila kuna tukio la kweli kama si mumeo kavuruga basi mume wa ndg au rafiki yako. Ukweli hua tunalalamika kutafuta kuhurumiwa ila hatusemagi kiini cha tatizo. Tunalalamikia tu matokeo ya tatizo mtu kachepuka. Kuna kilichomfanya achepuke ikiwa si hulka yake mwanaume.

Iwe ni ww rafiki au ndg yako,tafuta kujua chanzo halisi cha tatizo ujue pasina shaka tatizo ni lipi liko wapi? Jadilini kama ni la kujadilika au kama liko upande wa maanamke lifanyiwe kazi vzr otherwise kuna sikubutakuja uzi mwingine hapa mmeachana kabisa!!!
 
Asanteh
 
kuchepuka raha maana inakuwa faster faster na kila mmoja anatii kiu yake faster to square 1.
 
Swali langu la msing naona limekimbiwa ...
Je sifa bora ya mwanamke ni shepu tu? Kwamba uitwe mwanamke na badae upate cheo chenye thaman cha kuitwa mrs flani ama mama flani ni lazima uwe na shepu
Sifa ya mwanamke ni kuwa na akili njema na kauli nzuri mengine mbwembwe tu..... na wanawake wengi time weka nyuma Hayo na kutanguliza mwonekano wetu wa nje.. ndiyo maana unakuta anachepuka na demu wakawaida huku ana mke mzuri ndani mzuri wa nje...
Akili njema na kauli nzuri ndiyo silaha kuu ya mahusiano
 
bila shaka kama lips na midomo yako iko hivyo basi hapana shaka sura yako ni zaidi ya niifikilavyo kwa maana hiyo kama ungekatisha mbele yangu nisingekuacha upite hivi hivi bali ningekualika pale nyota 5 tupate lunch.
Nawaelewa mkuu hampitwi nyie, yaan mungu awalinde tu mana hatuna namna.
 
Kz wake nao siku hizi bize na magroup ya whatsapp hawataki juwa mme ana pendelea nini au ana ridhika na kitu gani ye anajuwa akisha mpa mzigo tena kimoja t habari kwisha wakti wanaume tuna hitaji vingine vingi tu sio shape na sura pekee
 
Jwanaume wengi hawezi vumilia kero za wanawake sasa ukiwa na kero+mapenzi yamedrop kidogo+ukawa mchafu kdg+dharau hiyo equation imebalance lzm mwanaume atachepuka tu ukizingatia sisi tuna tamaa ...ww km mwanamkw unapaswa kumpumbaza mwanamke na mazuri yako ili tamaa yake aone haina maana
 
Back
Top Bottom