Kwanini wanaume hawatulii na wake zao?

Kwanini wanaume hawatulii na wake zao?

Kuelewa umelewa natumai..... Kutmbua na kuwa nae kimahusiano......
Nakupeleka kule kule nilipokujibu. Kwanza.tumia neno "baadhi".

Pili, there are still good men out there.

Tatu, Tabia ya mtu binafsi,,kama anaona ufahari kufungua zipu kwa kila anaemuona bas ni tabia yake so ni wa kuombew abadilike,,tabia ya mtu mmoja isiwe reflected kwa wanaume wote.
 
Siku zote jogoo huwa hatulii kazi yake ni kusaka mtetea yuko wapi ili afanye mambo.
 
Unasema kweli lakini mali mpya haziishi .... Huwa kuna kitu kinatafutwa hasa .? hapo tu ndo natamani kujua
Mara nyingi mwanamke Mzuri wa umbo na sura, injini (papuchi) zao huchoka haraka sana kama hakujitunza kutokana na kwamba kila mtu amtaka. Hivyo hukosa utamu stahiki kutokana na kuigawagawa na kuiharibu. Mathalani huwa inazidi ku extend.

Na uzuri unaosababisha mwanaume asikuache hata kama umeolewa na mwanaume anaweza kuwa radhi hata kurudisha mahari akumiliki utakuta injini nzuri inayoendana na size yake (dushe lake) na sio sura yako wala Shepu yako.

kama mwanaume kakuoa kwa sababu ya sura na shepu anaogopa tu maneno ya watu huko nje k.v kaoa mbaya huyo. Ila nje ya maneno ya watu. mwanaume kuridhika na mtu mmoja ujue ;

1. papuchi saizi na dushe zenye kuendana. NB japo zinaweza size kuwa sawa ila huyu ni chepechepe yule kavu. Na vipi kama wako anapenda chepe wakati yako kavu.

2. Ujuzi na mautundu mengine kitandani yanatofautiana baina ya mtu na mtu na hapa lengo ni kukidhi haja ya mwenzako, unaweza kumridhisha mwenzako hata bila kufanya ili asijisikie humjali . Na hii ukiisimamia vizuri inaweza kufuta hata hiyo sababu ya kwanza.

3. Unaweza kuwa na sifa zote na huguswi na sababu yoyote hapo juu ila shida ikawa KIBURI na CARE kupungua.

Mara nyingi utasikia wanaume wakilalamika "naona ameanza kujisahau ngoja nimtafutie wa pili"

hapa wanawake hujisahau sana kimajukumu. Na anapokuwa Amewekwa ndani basi haya mengine yote anaweka kando,

Kumbe alikuwa anayafanya ili apate nafasi tu, na akiipata anayaacha yaliyompa nafasi na hapo ndipo wanapokosea, acheni maigizo huua nguvu ya mapenzi.

NB. Yapo mengine mengi, niwape wengine nafasi wachangie
 
Maswali mengine hayatuhusu kabisa nyie wanawake hata siye tuna shangaa, mie nadhani wakulaumiwa ni huyo kichwa wazi mwenye jicho moja huko chini akili zake anazijua mwenyewe
 
moja kati ya viumbe walio katika hatari ya kutoweka duniani ni wanaume na hii inasababisha ratio ya wanawake kwa wanaume kubadilika,, wanawake wanakuwa wengi maradufu na wanaume hawaongezeki (wapo constant au wanapungua). Sasa kwa haraka haraka kama wanaume wakiamua kutulia kama wewe unavyotaka maybe hata wewe ungekuja hapa kulalamika kuwa umekosa wa kukugegeda <jocking>.
 
Unasema kweli lakini mali mpya haziishi .... Huwa kuna kitu kinatafutwa hasa .? hapo tu ndo natamani kujua
Mkisha olewa mnajisahau, majukumu yenu. Na wakati mwingine ile peace ya kumfanya mwanaume atulie haipati hata km uko mzuri aje. Kwahiyo kuweni wapole otherwise mjitathimini au umuulize mmeo kwanini haturiii
 
We ulidhani uzuri wa uso ndo tunasaka? Tena mwanaume alieoa mwanamke mrembo nampa pole kwasababu atachepuka tu
 
moja kati ya viumbe walio katika hatari ya kutoweka duniani ni wanaume na hii inasababisha ratio ya wanawake kwa wanaume kubadilika,, wanawake wanakuwa wengi maradufu na wanaume hawaongezeki (wapo constant au wanapungua). Sasa kwa haraka haraka kama wanaume wakiamua kutulia kama wewe unavyotaka maybe hata wewe ungekuja hapa kulalamika kuwa umekosa wa kukugegeda <jocking>.
Sasa hii ni hatari ... Tusubiri ma robort waje washike nafasi ....
 
Kwenye child psychology wanasema vijana wa kiume wengi wanaopenda kuzurura mtaani utakuta mazingira ya nyumbani kwao hayajatulia, nyumba inapokuwa shaghala baghala vijana wengi wanaamua kufanya nyumbani ni sehemu ya kulala tu, muda mwingi wanautumia na vijana wenzao mtaani. Hii ninaona inareflect wa wanaume pia.
 
Unakuta mwanaume ameoa mke ni mzuri wa sura shepu na sifa nyingi ..Lakini bado macho haya pazia .... Ni kwanini asilimia kubwa ya wanaume hawapendi kutulia indeed na wake zao?? tusaidiane wadau
Siku utakapojua faida za rais kutoka na kutembelea nchi za nje ndio siku utakapoelewa umuhimu wa mwanaume kupiga mechi za nje
 
Hahahhaha....hilo ndio jibu..mana sio kwa thread hizi za mausiku manenee.....
Halafu kuna namba yake ya simu somewhere kapost.hebu nenda kamfariji jirani....
kuvurugwa kwa mapnzi zama hizi n kawaida ... Ukigundua kazi ya halali ya moyo bas inabdi utulize akili...
 
Uliona wapi jogoo katulia???........ni nature,kazi ya madume ya viumbe wote ni kupanda majike mengi as many as possible so as to ensure living organism generation will not vanish from the earth!
 
Back
Top Bottom