Unasema kweli lakini mali mpya haziishi .... Huwa kuna kitu kinatafutwa hasa .? hapo tu ndo natamani kujua
Ni hivi sisi wanaume tumeumbwa na hisia.Unakuwa na mwanamke na sifa zote lakini bado unatoka.Jibu ni kwamba,kwanza lazima hufahamu kwamba nyie mnatofautiana kwenye VIGANJA vyenu vya mikono (natumia neno VIGANJA nadhani utanielewa ninachomaanisha,kuna watoto wadogo humu).Tunachotafuta ni kiganja ambacho kabla ya kukiona huwa tunahisi labda ni tofauti na cha wake zetu.Ukishakiona kuna mawili:Unaweza kukuta kiganja ni 'kizuri' kuliko ulicho nacho ndani (Nyumba ndogo),lakini ukikuta ni sawa na cha mwenza wako unakiangalia mara moja unajuta kwa nini ulikitafuta.Lakini lazima ufahamu viganja vyenu viko tofauti sisi ndiyo tunafahamu.Hivi ndivyo huleta hisia za wanaume wengi kutotulia.Unaweza kuona mrembo mzuri sana lakini ukawa unashangaa mbona haolewi?Wakati mwingine ni tatizo kwenye viganja!!