Kwa sasa shetani ndiyo Kiongozi Mkuu wa DINI zote

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,894
155,914
Salaam.
Ama baada ya salamu mimi ni mzima, bukheri wa siha njema. Hofu na mashaka ni kwako wewe uliye mbali na upeo wa macho yangu. Nakutakia weekend njema.

Leo nataka nikuonyeshe tu kwa kidogo ni jinsi gani shetani amekuwa akitumia dini na vitabu vitakatifu kujinufaisha yeye zaidi kuliko kambi ya watu wema inavyonufaika.

DINI YA WATAHUDI, katika Mashariki ya Kati hii ni dini ya zamani zaidi. Hii ndiyo dini ambayo ina ratibu mambo mbalimbali duniani yaliyo mabaya na dhalimu.

Matajiri wakubwa na wawekezaji wakubwa duniani ni Wayahudi. Hawa ndio wanaamua kuzalisha vimelea na vijidudu hatari vya magonjwa na kuviachia duniani ili makampuni yao ya madawa yauze chanjo na dawa za kuponya magonjwa waliyoyatengeneza.

UKRISTO
Imani hii ilianzishwa na Yesu mwenyewe ikitokea kwenye dini ya Kiyahudi. Ukristo umekuwa ukitumiwa na shetani ambaye amewaweka viongozi wake.

Papa wa Kanisa Katoliki analeta sera za ajabu kabisa kanisani. Anataka kanisa lihalalishe mahusiano ya jinsia moja, kitu ambacho ni kinyume kabisa na msingi wa kitabu kitakatifu cha Biblia.

Manabii na wachubgaji feki wamejazana kwenye Ukristo wakifanya maajabu bandit, wakiua , wakilawiti watoto, wakizini na kufanya mengi yaliyo dhalimu. Na jamii inaona poa tu.

UISLAM.
Hii ni dini iliyokuja miaka 600 baada ya Ukristo. Hapa ni mwendo wa upanga kwa upanga, jino kwa jino.

Tumeona jinsi shetani ambavyo amejitwalia utukufu hadi kuufanya Uislam uonekane ni dini ya kigaidi.

Al Qaeda, Al Shabaab, Boko Haram nk ni makundi ya kijihad yanayofanya vitendo vya kuua watu wasio na hatia, haswa wale ambao imani yao ni kinyume na Uislam.

Haya ni kwa uchache tu niliyoyaandika, lakini DINI NI MALI YA SHETANI (DINI ZOTE) ndio maana anaweza kuzitumia atakavyo.

Mahusiano ya Mungu na mwanadamu ni mahusiano ya mtu mmoja mmoja na sio dini.

AMANI IWE KWENU NYOTE
 
Salaam.
Ama baada ya salamu mimi ni mzima, bukheri wa siha njema. Hofu na mashaka ni kwako wewe uliye mbali na upeo wa macho yangu. Nakutakia weekend njema.

AMANI IWE KWENU NYOTE
Mwenyezi Mungu atujalie sote Uelewa na Ufahamu mwema na wa kutosha, wa kutambua vema alama za ulimwengu wa Nuru na ulimwengu wa Giza.....

Hili litatokea tu endapo jamii itazingatia vizuri sana, malezi ya wazazi, kuyashika vema mafundisho sahihi ya dini zetu na kwa kweli kuheshimu mila, desturi na tamaduni zenye tija za jamii tunazoishi na zinazo tuzunguka....
 
Umemaliza vizuri.
Hata ukiwa katika dinibyoyote unapaswa kuwa royal kwa Mungu kuliko mifumo ya kidini. Mingi huwa inaajenda behind the scene.

Kuna kitabu nilikisoma kinaitwa Individuality in religion, Kinasisitiza conclusion ya bandiko lako. Bila uhusiano pekee na Mungu ni rahisi kugeuzwa mkate wa wajanja wa kiroho.
 
Mwenyezi Mungu atujalie sote Uelewa na Ufahamu mwema na wa kutosha, wa kutambua vema alama za ulimwengu wa Nuru na ulimwengu wa Giza.....

Hili litatokea tu endapo jamii itazingatia vizuri sana, malezi ya wazazi, kuyashika vema mafundisho sahihi ya dini zetu na kwa kweli kuheshimu mila, desturi na tamaduni zenye tija za jamii tunazoishi na zinazo tuzunguka....
Hakika dini zetu za asili zilikuwa bora sana kuliko hizi zilizo letwa na mitumbwi
 
Back
Top Bottom