Kwanini wanalaumiwa Polisi na siyo Hamza?
Sijui hapa kwetu, wenzetu wanakitu inaitwa “ Rules of engagement “
Ukishawarushia risasi Polisi, basi hiyo safari inaenda kuishia kwenye kifo, labda kuwe na “clear surrender”.
Sasa kwa kesi hii, jamaa sio tu alishoot bali aliwaua na bado alikuwa anaendelea ku-shoot.
Unamkamataje

kada mtiifu wa chama cha ccm hajui chanel za kupiga madini mpaka akamatwe na polisi mataa!!!
madini yabebwe asijue anawasiliana na nani mpaka ayapate!!!

hii nchi mnaijua vizuri tatizo mnajifanya wapumbavu,ndio maana hata ccm inajipigia tu nyuma na mbele,hakuna mwenye ubavu wa kuitikisa.
Kada mtiifu wa CCM anawapora polisi sisiem SMG ambao alikuwa anashirikiana nao kuiba Kira anaanza kuwamiminia risasi....Tena hana habari ni mtu mwingine ila polisi sisiem tu....maajabu Haya....mtu anageuka gaidi ghafla tu kwa wafalme wake..
 
ghafla akawa shujaa wa nyumbu wanaharakati.
 
Kafa kada mtiifu wa sisiem Tena kaondoka na polisi sisiem watatu hyo ndo furaha yetu baaasi.

kikubwa bado mtaendelea kutaabika.

si unaona jpm kaenda kaja mama,anaendelea kuua nyani tu.
 
Katika pitapita zangu mitaani nimeshtushwa sana na wananchi badala ya kuhuzunika kwa gaidi kuuwa polisi wetu na badala yake wamegeuka wanawalaumu pili kwa matendo yao ya kubambikizia kesi,dhuluma,uonevu,kuchochea chuki,kuuawa raia wawapo mahabusu nk. Hii inaashiria kiti gani mbona si kawaida?

Napata mshituko mkubwa sana kuona rais wamekosa uzalendo wa kuliamini jeshi lao kiasi hiki. Polisi katika hili wajitafakari sana hii siyo kawaida, sasa watafanyaje kazi ikiwa raia hawatawapa Tena ushirikiano?

Lipo tatizo nadhani, hili jeshi linahitaji Reformation tena ya kikatiba kabisa. Recruitment ya polisi iwe ya hali ya juu sana, jeshi kulaumiwa kiasi hiki si kawaida.

Tanzania ni nchi ya watoto wengi 66% chini ya miaka 25 hivyo miaka mitano kuna vijana wamekuja ambao wana mawazo tofauti hivyo tulishasema hii nchi itabadilika haraka kuliko watu wanavyotegemea. Sasa ukweli wa wananchi tunaanza kuuona kuanzia kesi ya mbowe na sasa huyu Hamza. Tatizo sio Polisi kubadilika bali watu wameshabadilika lakini kwasababu chaguzi nyingi ni fake watu wengine wanachukua muda kuona hili. Tanzania ya sasa sio ya miaka 5 iliyopita. Mika mitano imefanya watanzania hasa wadogo kuzoea ukatili na hili ni tatizo kubwa. Sirro hajui kwamba wananchi wa kawaidia kila siku ziendavyo wanadharau Polisi hata Raisi kashtuka hili lakini vyombo vya kisalama bado hawaoni.
 
AUYZ3t.jpg
 
/MAPOLISI WANASAPOTI UNGANG STAR ILI UHALIFU UENDELEE/

/TUNAKAA NA POLIS, AFU TUNASTUKA TUMEIBIWA /

/KAMA SIJAJIIBIA, BASI POLISI KANIIBIA/

............dis iz bongo ma nigger..........
 
mapolisi hata uyachukie vipi,hata yafe vipi bado utaendelea kuyaona tu,na mbaya zaidi bado utayafata kupewa msaada wake.

kwahiyo njia bora ya wewe kujifurahisha fanya kama alivyofanya hamza,kaondoka na mawili,saa hizi mungu wake kampa wanaume wawili walale naye chumbani huko,hawezi pewa mabikra 72 maana kaua wachache.
HAKUNA SEHEMU NIMEWAH KUPEWA MSAADA NA POLICE MKUU...HAYANA MSAADA WOWOTE SANA SANA NI OMBA OMBA HASA WANAOKAAGA KWENE MA ATM YA BANK.....HAKUNA KITU MZEE
 
HAKUNA SEHEMU NIMEWAH KUPEWA MSAADA NA POLICE MKUU...HAYANA MSAADA WOWOTE SANA SANA NI OMBA OMBA HASA WANAOKAAGA KWENE MA ATM YA BANK.....HAKUNA KITU MZEE

akisaidiwa mwanao au mkeo inatosha.

kwenye hili la kuomba inabidi wawe wanaangalia,wengine ni masikini kuliko wao.
 
Hata mimi nashangaa,pengine tusubiri uchunguzi na BBC wamesema kaka zake 4 bado wako ndani.
 
Hamza ni gaidi tu, kama alikuwa anatafuta haki angelala mbele na huyo aliyemdhulumu
 
Polisi wajitafakari aisee, hii sio hali nzuri kabisa.
 
akisaidiwa mwanao au mkeo inatosha.

kwenye hili la kuomba inabidi wawe wanaangalia,wengine ni masikini kuliko wao.
Mkuu hapana hawatakiwi kuomba omba na kukaa kwenye vijumba vya ajabu wanatakiwa waungane na raia kupambania haki ili pafanyike reform kwenye mambo kadha wa kadha ili wao pia waanze kulipwa vizuri...hapo hawataomba tena...lengo ni kufuta umatonya not otherwise...vitu unavyosema wewe they are not solution driven...wanatakiwa wasolve hilo otherwise bullets will be flying in the near future and somebody will be around to catch one...
 
Kwanini aliwalenga polisi tu wakati alikuwa na nafasi ya kuondoa roho nyingi?. Binafsi hadi sasa hivi nashawishika kuamini kuwa dogo hakuwa gaidi kama Siro anavyo dai...... unless proved otherwise ntabaki na imani hii.
 
Katika pitapita zangu mitaani nimeshtushwa sana na wananchi badala ya kuhuzunika kwa gaidi kuuwa polisi wetu na badala yake wamegeuka wanawalaumu pili kwa matendo yao ya kubambikizia kesi,dhuluma,uonevu,kuchochea chuki,kuuawa raia wawapo mahabusu nk. Hii inaashiria kiti gani mbona si kawaida?

Napata mshituko mkubwa sana kuona rais wamekosa uzalendo wa kuliamini jeshi lao kiasi hiki. Polisi katika hili wajitafakari sana hii siyo kawaida, sasa watafanyaje kazi ikiwa raia hawatawapa Tena ushirikiano?

Lipo tatizo nadhani, hili jeshi linahitaji Reformation tena ya kikatiba kabisa. Recruitment ya polisi iwe ya hali ya juu sana, jeshi kulaumiwa kiasi hiki si kawaida.
Hakuna jeshi hapo hilo ni tawi kuu la CCM
 
Kwanini aliwalenga polisi tu wakati alikuwa na nafasi ya kuondoa roho nyingi?. Binafsi hadi sasa hivi nashawishika kuamini kuwa dogo hakuwa gaidi kama Siro anavyo dai...... unless proved otherwise ntabaki na imani hii.
Polisi ni waonevu sn
 
Back
Top Bottom