Kwanini wanalaumiwa Polisi na siyo Hamza?
sio akina mbowe tena!!!

by the way waliishakuja kama hukuwa umezaliwa fuatilia kuanzia 2014 utajua tz ilikuwa matukio mengi ya ugaidi.

huyu hamza gaidi mnene hana maajabu.
We jamaa are you normal ?...mbowe kafikaje hapa ? Me mapolice siwapendi angeua hata mia, mapolice hayana akili ndio mana aliyazid ujanja
 
Tatizo theory hii inakosa logic. Naamini kuna kikosi maalum ndio kilienda baada ya tukio kuanza na wao kupewa taarifa. Sasa ukisema walimmaliza asitoe siri basi inamaana huko polisi kila mtu alikuwa anajua kuwa kuna polisi wamemdhulumu Hamza?! Hilo linaingia akilini?!
Hapana haingii Akilini.
 
We jamaa are you normal ?...mbowe kafikaje hapa ? Me mapolice siwapendi angeua hata mia, mapolice hayana akili ndio mana aliyazid ujanja

mapolisi hata uyachukie vipi,hata yafe vipi bado utaendelea kuyaona tu,na mbaya zaidi bado utayafata kupewa msaada wake.

kwahiyo njia bora ya wewe kujifurahisha fanya kama alivyofanya hamza,kaondoka na mawili,saa hizi mungu wake kampa wanaume wawili walale naye chumbani huko,hawezi pewa mabikra 72 maana kaua wachache.
 
Ungeanza na aliyemuuwa Padri Zanzibar naona ungekuwa na kiakili kidogo
 
K a
mapolisi hata uyachukie vipi,hata yafe vipi bado utaendelea kuyaona tu,na mbaya zaidi bado utayafata kupewa msaada wake.

kwahiyo njia bora ya wewe kujifurahisha fanya kama alivyofanya hamza,kaondoka na mawili,saa hizi mungu wake kampa wanaume wawili walale naye chumbani huko,hawezi pewa mabikra 72 maana kaua wachache.
Kwa hiyo unawatangazia umma wanapambana na polisi CCM sio chama? Sasa wapatikane akina Hamza kumi kila mkoa au mikoa kumi wawavamie mtafanya je? Japo sitarajii yatokee kwa sababu ninajua raia wa Tanzania hawana silaha.

Wenye hasira ni wengi. Wengine wanaomba mungu madereva wapeleke hayo mavx8 kwenye mitaro na kwenye mkaravati. Happy unasemaje?
 
hao wahuni wa Chadema ni wa kupuuzwa wala sio wa kuhangaika nao, na tutaendelea kuwalinda wao na mali zao, na ole wajiingize kwenye vitendo vya kigaidi tunashughirika nao tena bika huruma
Lakini Hamza alikua kada mtiifu wa chama na Serikali na pia aliwajengea hadi ofisi ya chama huko Iringa
 
K a

Kwa hiyo unawatangazia umma wanapambana na polisi CCM sio chama? Sasa wapatikane akina Hamza kumi kila mkoa au mikoa kumi wawavamie mtafanya je? Japo sitarajii yatokee kwa sababu ninajua raia wa Tanzania hawana silaha.

Wenye hasira ni wengi. Wengine wanaomba mungu madereva wapeleke hayo mavx8 kwenye mitaro na kwenye mkaravati. Happy unasemaje?

usiulize tutafanyaje,uliza utawalilia akina hamza kwa machozi kiasi gani!!!

maana 10 kila mkoa ni 270 police tc wanakaribia 60 elfu.
 
Polisi au CCM tofautisha maana siku hizi polisi ndio wanafanya kazi ya CCM
 
wanachati,milenda hapo hapo walipora madini???

wakuu hata kama polisi wanawachukulia wake zetu kuweni halisi kidogo mnapowajadili.
??
Unajua maana ya ambush?
Polisi muda wote anatakiwa awe tayari kwa ambush

Polisi simu ZA nini
 
mwisho utataka wasile maana kuna ambush.

sikiliza nikwambie dogo,polisi ni walinzi wanaotoa huduma kwa kusikiliza mwenye shida.mtu yeyote mwenye nia mbaya hawezi shindwa kuwadhuru labda kama hajaamua tu.
 
Wafanye wanavyotaka si hawaogopi kitu.
 
Kwa sababu wamepoteza ushahidi au kama angekuwa hai polisi wangeaibika kwa maneno yaliyoenea mujini ni kuwa polisi walimzulumu madini yake,mbona kule kwenye mgodi alijenga ofisi yety ya Chama cha mapinduzi, amna lazima polisi walimfanyia ushenzi na huu kwa sababu ana asili ya kisomali mbona kwenye siasa wakimtumia sana, ....Jeshi la polisi lina ubaguzi wa rangi na ndio maana wapemba wengi huuliwa na polisi kila unapofika uchaguzi ,sijui wamebaki wapemba wangapi.
 
Nimependa maneno yako ila hata kama angempigia Rais na police hawafahamiki asingeyapata

sio kwa kada wa chama,tena mtoto wa upanga.

ujue mnarahisisha sana hii ishu,hamza kama ni kweli ameuza madini kwa kipindi kingi hawezi kuwa mtu kama dalali wa simu za laki na 20 haiwezekani.

huyu jamaa baadae mtapewa profile yake kwa undani,lakini kama mmejiandaa kubisha sababu labda hamuwaamini polisi,hilo litakuwa tatizo lenu zaidi maana si kila wakati polisi wanadanganya.
 
Kwa sababu wamepoteza ushahidi au kama angekuwa hai polisi wangeaibika kwa maneno yaliyoenea mujini ni kuwa polisi walimzulumu madini yake,mbona kule kwenye mgodi alijenga ofisi yety ya Chama cha mapinduzi, amna lazima polisi walimfanyia ushenzi na huu kwa sababu ana asili ya kisomali mbona kwenye siasa wakimtumia sana, ....Jeshi la polisi lina ubaguzi wa rangi na ndio maana wapemba wengi huuliwa na polisi kila unapofika uchaguzi ,sijui wamebaki wapemba wangapi.

simu ina madini mengi tu mkuu,mpaka mavideo akijirekodi na itikadi zake.
 
Tatizo theory hii inakosa logic. Naamini kuna kikosi maalum ndio kilienda baada ya tukio kuanza na wao kupewa taarifa. Sasa ukisema walimmaliza asitoe siri basi inamaana huko polisi kila mtu alikuwa anajua kuwa kuna polisi wamemdhulumu Hamza?! Hilo linaingia akilini?!
Jeshi la polisi kwa mapambano yale kamakikosi malum hakina weledi. Haifai kusema kikosi malum ingekua ivyo wangemkamata bila kumuhua
 
Polisi wote wagome kufanya kazi kama wiki nzima hivi. Waachie hao watu mitaani wachapane bakora, walipizane visasi, waporane vitu, halafu utaona jinsi watu wengi watakavyo walilia polisi na kuwapenda tena. Heshima kwa jeshi la polisi itarudi haraka sana baada ya hapo.
 
Lakini Hamza alikua kada mtiifu wa chama na Serikali na pia aliwajengea hadi ofisi ya chama huko Iringa
Wewe unadhani waharifu hawana Jema? kuna wengine wamekuwa ni wabunge, wamefanya mengi mema, Lakini mwisho wa siku kumbe ni majitu ya hovyo tu, na unadhani mtu akiwa ccm hawezi kuwa mharifu?

Tutamshughurikia yeyote bila kujali itikadi yake
 
Back
Top Bottom