Kwanini wana Yanga SC na Uongozi wao haujakanusha kauli ya shabiki mwenzao kuwa ushindi wao NBC ni wa Tigo Pesa tu?

Kuna kiongozi wao pale Utopolo rafiki yangu naona kasusa kisa kumuuliza habari za timu yake hahaha
Mashabiki wa Utopolo wasipoangalia wataongoza kwa presha nchini. Itabidi sasa hivi mtu mwenye presha akienda hospitali aulizwe kama ni mwanautopolo au la.
 
Endeleeni kuedit utopolo
Hii picha tabasamu ni lile lile mkawabadilisha nguo picha ni ileile ilipigwa muda huohuo angle tofauti na wahusika ni wale wale kwenye picha ya kwanza angalieni kwa makini uto mnadanganywa. Pia macho hayawezi yakawa yanaangalia sehemu moja tu kwenye picha ya kwanza na ya pili danganyweni tu utopolo
Wanaficha aibu. Ndiyo maana mechi za kujipima wanacheza na Mundu FC ya Kibugumo ili wawafunge na kuwahadaa mashabiki wao kuwa kikosi chao kina uwezo mkubwa kumbe!!! Hiiiiii!!! Aahaaa!!
 
Aliyetoa tuhuma hizo namfahamu na yeye ananifahamu vizuri. Jana nilipoonana naye nilimuuliza, "Umeanza lini kushabikia Yanga wakati siku zote unanishawishi niungane na wewe Simba?" Akanijibu Nilikuwa nafurahisha genge nikamwambia kuna siku utafanya utani kama rafiki yetu aliyejifanya Yanga damu siku ya Al Hilal akaishia kuokolewa na Polisi.
 
Simba ndio timu iliyo mponza mchezaji wa Zamani wa timu iyo Ulimboka Mwakingwe Kwa kumpatia fedha shilingi laki nne aende kumpatia Kipa wa Mtibwa sugar Shabani Kado auze mechi dhidi ya Simba pale Manungu.
Shabani Kado akatoa taarifa Kwa uongozi wa Mtibwa ambao nao Waka wataarifu polisi walio amua kuweka mtego.
Baada ya kunasa mtegoni Ulimboka alidai fedha zile zilikua ni deni alilokua akidaiwa na Shabani Kado ambaye alimkataa Hadharani.
Polisi wali mlaza mahabusu na kumwachia kesho yake asubuhi na kesi iyo kumalizwa ki utu uzima uku pesa ikitafunwa na wajanja.
Wakati hayo yakijili aliyekua Kocha wa Mtibwa sugar Abdalah kibadeni alisema anao ushahidi usio na shaka Kwa mmoja wa viongozi wa klabu kubwa kutaka kumhonga Ili timuyao ipate ushindi.Alipotakiwa kupeleka ushahidi, alitoa ushahidi wake pale Tff lakini swala Lile liliisha kimya kimya.

Vile vile aliyekua Kipa wa Simba Iddi pazi ana Kili wakati akicheza Prisiner ya DSM yeye na Jamhuri Kiwelo walifuatwa na Viongozi wa Simba waisaidie timu Yao Kwa kuwa achia Simba Magoli Ili timuiyo ya Msimbazi isishuke daraja.
Ukumbuke msimu mmoja kabla ya kwenda Prisiner yeye Iddi pazi(father) walikua wote yeye na Jamhuri Kiwelo wakicheza pale
Msimbazi.
Kwa mujibu wa Iddi pazi kipindi Cha kwanza Julio aligomea mchezo uo mchafu na kumwambia mwenzake Iddi pazi akaze kwakua wali achwa kwenye usajili uliopita na Simba.
Mpaka timu zinakwenda mapumziko Simba ilikua nyuma Kwa BAO mmoja lililokua limefungwa na striker wa Prisner Said Mrisho (Ziko wa Kilosa), Hali iliyo onyesha Simba isipofanya jambo itashuka daraja.
Kipindi Cha pili Julio alikubali kuachia Magoli Kwa makubaliano maalumu baada ya viongozi wa Simba kumpigia magoti na Simba kupata ushindi wa 2- 1.
Simba inatambulika Kwa michezo michafu na hongo Kwa miaka mingi na Ipo kwenye DNA Yao.
 
Nimeshashuhudia wana Yanga SC wakijitokeza kwa nguvu zote kutetea kauli za kuwachafua na kuwatuhumu ila kwa hii ya mmoja wa shabiki na mwanachama wao hivi majuzi baada ya kutoka Suluhu na Club Africaine ya nchini Tunisia kusema kuwa Unbeaten Record yao na ushindi wao katika Ligi Kuu ya NBC ya Tanzania ni kutokana na Tigo Pesa hakuna aliyemjibu, na tena 99% ya wana Yanga SC wanajifanya kama vile hawajaisikia au hawajamsikia mwenzao huyo.

Haya wana Yanga SC wote mlioko hapa JamiiForums tafadhalini hebu jibuni hii shutuma ili hata mimi GENTAMYCINE nisiye mshabiki wa timu yoyote ile hapa Tanzania (japo Uingereza ni mwana Liverpool FC wa kutukuka kabisa) niweze kujua nani ni mkweli na muongo.
Gents Kama kila Watanzania wanne Kuna kichaa mmoja una haha gani ya kupigiana nao kelele zaidi ya kutoa msaada wa jinsi ya kuwa fikisha ama Mirembe,Muhimbili au Kule Tanga kwenye sehemu za kuwasaidia kutibu shida yaooo😹😹
 
Simba ndio timu iliyo mponza mchezaji wa Zamani wa timu iyo Ulimboka Mwakingwe Kwa kumpatia fedha shilingi laki nne aende kumpatia Kipa wa Mtibwa sugar Shabani Kado auze mechi dhidi ya Simba pale Manungu.
Shabani Kado akatoa taarifa Kwa uongozi wa Mtibwa ambao nao Waka wataarifu polisi walio amua kuweka mtego.
Baada ya kunasa mtegoni Ulimboka alidai fedha zile zilikua ni deni alilokua akidaiwa na Shabani Kado ambaye alimkataa Hadharani.
Polisi wali mlaza mahabusu na kumwachia kesho yake asubuhi na kesi iyo kumalizwa ki utu uzima uku pesa ikitafunwa na wajanja.
Wakati hayo yakijili aliyekua Kocha wa Mtibwa sugar Abdalah kibadeni alisema anao ushahidi usio na shaka Kwa mmoja wa viongozi wa klabu kubwa kutaka kumhonga Ili timuyao ipate ushindi.Alipotakiwa kupeleka ushahidi, alitoa ushahidi wake pale Tff lakini swala Lile liliisha kimya kimya.

Vile vile aliyekua Kipa wa Simba Iddi pazi ana Kili wakati akicheza Prisiner ya DSM yeye na Jamhuri Kiwelo walifuatwa na Viongozi wa Simba waisaidie timu Yao Kwa kuwa achia Simba Magoli Ili timuiyo ya Msimbazi isishuke daraja.
Ukumbuke msimu mmoja kabla ya kwenda Prisiner yeye Iddi pazi(father) walikua wote yeye na Jamhuri Kiwelo wakicheza pale
Msimbazi.
Kwa mujibu wa Iddi pazi kipindi Cha kwanza Julio aligomea mchezo uo mchafu na kumwambia mwenzake Iddi pazi akaze kwakua wali achwa kwenye usajili uliopita na Simba.
Mpaka timu zinakwenda mapumziko Simba ilikua nyuma Kwa BAO mmoja lililokua limefungwa na striker wa Prisner Said Mrisho (Ziko wa Kilosa), Hali iliyo onyesha Simba isipofanya jambo itashuka daraja.
Kipindi Cha pili Julio alikubali kuachia Magoli Kwa makubaliano maalumu baada ya viongozi wa Simba kumpigia magoti na Simba kupata ushindi wa 2- 1.
Simba inatambulika Kwa michezo michafu na hongo Kwa miaka mingi na Ipo kwenye DNA Yao.
Sawa tumesikia ila hizo kashfa zote zinazoihusu simba bado haijaifikia ile ya kabwili na mama j zitabaki miaka nenda miaka rudi
 
Angetoa shabiki wa simba hyo kauli kina manara na shafih dauda pamoja na kitenge wangekuwa washapost zamani sana.
Kama hiyo kauli ya mshabiki we unaona ni kweli pelekeni ushahidi takukuru ili wazifanyie hizo tuhuma kazi unawaita mashabiki wa yanga wajinga kumbe wewe ndo unaupeo mdogo

Kama ushahid upo wapeleke kwa vyombo husika sio kuwalaumu wakina kitenge hawajaipost
 
Simba ndio timu iliyo mponza mchezaji wa Zamani wa timu iyo Ulimboka Mwakingwe Kwa kumpatia fedha shilingi laki nne aende kumpatia Kipa wa Mtibwa sugar Shabani Kado auze mechi dhidi ya Simba pale Manungu.
Shabani Kado akatoa taarifa Kwa uongozi wa Mtibwa ambao nao Waka wataarifu polisi walio amua kuweka mtego.
Baada ya kunasa mtegoni Ulimboka alidai fedha zile zilikua ni deni alilokua akidaiwa na Shabani Kado ambaye alimkataa Hadharani.
Polisi wali mlaza mahabusu na kumwachia kesho yake asubuhi na kesi iyo kumalizwa ki utu uzima uku pesa ikitafunwa na wajanja.
Wakati hayo yakijili aliyekua Kocha wa Mtibwa sugar Abdalah kibadeni alisema anao ushahidi usio na shaka Kwa mmoja wa viongozi wa klabu kubwa kutaka kumhonga Ili timuyao ipate ushindi.Alipotakiwa kupeleka ushahidi, alitoa ushahidi wake pale Tff lakini swala Lile liliisha kimya kimya.

Vile vile aliyekua Kipa wa Simba Iddi pazi ana Kili wakati akicheza Prisiner ya DSM yeye na Jamhuri Kiwelo walifuatwa na Viongozi wa Simba waisaidie timu Yao Kwa kuwa achia Simba Magoli Ili timuiyo ya Msimbazi isishuke daraja.
Ukumbuke msimu mmoja kabla ya kwenda Prisiner yeye Iddi pazi(father) walikua wote yeye na Jamhuri Kiwelo wakicheza pale
Msimbazi.
Kwa mujibu wa Iddi pazi kipindi Cha kwanza Julio aligomea mchezo uo mchafu na kumwambia mwenzake Iddi pazi akaze kwakua wali achwa kwenye usajili uliopita na Simba.
Mpaka timu zinakwenda mapumziko Simba ilikua nyuma Kwa BAO mmoja lililokua limefungwa na striker wa Prisner Said Mrisho (Ziko wa Kilosa), Hali iliyo onyesha Simba isipofanya jambo itashuka daraja.
Kipindi Cha pili Julio alikubali kuachia Magoli Kwa makubaliano maalumu baada ya viongozi wa Simba kumpigia magoti na Simba kupata ushindi wa 2- 1.
Simba inatambulika Kwa michezo michafu na hongo Kwa miaka mingi na Ipo kwenye DNA Yao.
Nimeshakupa LIKE mkuu
 
Kubwa kuliko hii
Screenshot_20221106-093906.jpg
 
Back
Top Bottom