GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 57,257
- 110,846
"Asanteni kwa Upendo wenu mkubwa Kwangu na kiukweli bila Yanga SC nisingefikia haya Mafanikio niliyonayo sasa. Kiukweli tunacheza Mpira kwa ajili ya Pesa na Maisha hivyo nawaombeni nikacheze huko Kwingine na niipate hiyo Pesa ila nikishindwa huko nawaahidi nitarejea Kucheza Yanga SC ninayoipenda na Kuheshimu sana" amessma Mchezaji Fiston Kalala Mayele na GENTAMIYCINE nimetaarifiwa hii na Maandalizi Mmoja wa Yanga SC ( namhifadhi ) aliyekuwa Kikaoni nae tokea Juzi ( Jumapili )