Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,759
- 37,336
Mgogo kaambali na machinjio au kuna mapanga na visu.wale mda wote wanaona kila mtu ni ng'ombeHuwajui wagogo wewe
Mgogo kaambali na machinjio au kuna mapanga na visu.wale mda wote wanaona kila mtu ni ng'ombeHuwajui wagogo wewe
Wanapenda kunyanduanaNaomba mnisaidie hilo swali langu wadau.
Naomba mnisaidie hilo swali langu wadau.
Mgogo kaambali na machinjio au kuna mapanga na visu.wale mda wote wanaona kila mtu ni ng'ombe
jaah wagogo au wakaguru?
jaah njoo huku matombo ndizi tu tunapata pesa shule ya nini?
jaah nguruwe tunafugia kilosa
Viwanda vya molases k1, k2 na mtibwa vinafanya gongo iuzwe bei rahisi kuliko soda
jaah shamba la bhange lipo lukobe mwezi ujao tunavuna shule ya nini? Pesa itakuja tu
msimu wa mvua umeisha sasa ni mavuno na kuchoma tofali jaah karibu tubuyu uje uone SGR
Wasomi watatoka mjini huku bush elimu ya nini?
dah watani zangu waluguru
Mihanyenye.....
ni mihanyeny alafu hiyo ni salam kwenda kwa mwanamke
usije siku ukatiwa vitasa ikawa shida
Mkuu nimecheka sana na inaelekea unapajua vema Morogoro.
Mm mbona mfupi lakin sichomi mishkaki?ufupi wao unafanya wengi kupenda kuchoma mishikaki na kuuza vipande vya kuku.
Ila waruguru kwa kupenda chini
Naomba mnisaidie hilo swali langu wadau.
Pole kwa experience ya kupata ajali ya basi.nilishawahi kukaa na kutembelea baadhi ya sehemu nyingi mjini na vijijini
pale magubike, gairo napakubali kwa viazi vile vyekundu na karanga
mdaula, zomonzi, kizuka, pale mikese nshawahi kupata ajari ya basi siwezi kusahau
mzumbe, udizungwa, kidatu kote na wadau hadi veta mikumi
pale mjini kihonda - kilimanjaro, godesi, kwa komba, mbuyuni mazimbu, siku moja boko alizingua sana akaja daraja la treni pale darkcity ndio akapigwa risasi watu wakala sana nyama siku hiyo
usiende kizembe uchamwinoni labda siku hizi wawe wastarabu
widazcamp, madizini, bigwa, kola hill pale makaburini matukio ni mengi sana
8-8, mzambarauni, msamvu, komoa hadi kule idara ya maji, 7-7 sokoni
we acha tu umenikumbusha mbali sema na miaka sijaenda
😄 inaonyesha mpenzi wa timu ya simba .Maana wakiwa uwanjani nawaelewaMm mbona mfupi lakin sichomi mishkaki?
Waluguru nawajua sana.Tabia za wazenji na waluguru zina fanana.Tofauti ya waluguru na wakaguru ni nini? Maana wote ni wafupi na wapo Morogoro?
Waluguru ni wazsrsmo waliochangamkaTofauti ya waluguru na wakaguru ni nini? Maana wote ni wafupi na wapo Morogoro?
Wazaramo ni Waluguru waliochangamka.... Wazaramo wameanza kukutana na wageni kabla ya Waluguru.Waluguru ni wazsrsmo waliochangamka
Je wew na dictator Samuya umesaidia nini TzWewe uliosoma umesaidia nini tz? Kila siku malalamiko tu humu