Kwanini waluguru hawapendi shule?

Kwanini waluguru hawapendi shule?

Wazaramo ni Waluguru waliochangamka.... Wazaramo wameanza kukutana na wageni kabla ya Waluguru.
Hata hivyo Waluguru, Wazaramo, wakwele, wadoe, wakutu, wazigua, wakaguru, nk wote ni Koo moja iliyokua na kutawanyika makundi kabla ya kuunda makabila.
Shina ni moja!
Wadoe(wadoezi) ni wageni uzaramuni,walipewa eneo la kujenga na kuishi,wengi wao wanyamwezi
 
jaah wagogo au wakaguru?

jaah njoo huku matombo ndizi tu tunapata pesa shule ya nini?
jaah nguruwe tunafugia kilosa
Viwanda vya molases k1, k2 na mtibwa vinafanya gongo iuzwe bei rahisi kuliko soda

jaah shamba la bhange lipo lukobe mwezi ujao tunavuna shule ya nini? Pesa itakuja tu

msimu wa mvua umeisha sasa ni mavuno na kuchoma tofali jaah karibu tubuyu uje uone SGR

Wasomi watatoka mjini huku bush elimu ya nini?

dah watani zangu waluguru
Mkuu hapo Mororogoro maeneo gani yasiyo kuwa na mafriko,naweza pata kiwanja kwa 2M
 
Pole kwa experience ya kupata ajali ya basi.
Chanzo cha ajali kilikuwa nini?

Ilikuwa usiku, mwendo wa kasi na barabara ni nyembamba ndio sababu

nilikuwa natokea mikoa ya mbali huko tukapita Msavu vizuri tu tukaenda sehemu kabla ya kingowira tukashuka kula mimi nikachukua chakula takeaway na hali ilinitokea sikuweza kujua kwa wakati ule mwili ulikuwa unatetemaka sana hadi wengine wakawa wananishangaa nikachukua vilevi lakini hali bado ipo. Tukapanda katika basi likaondoka ile tumepita mizani ya Mikese hapo nishamaliza kula na kilevi kimepanda kidogo nikasema ngoja niegamie kiti cha mbele nilale we nikasikia kishindo kikubwa na mtikisiko, gari linaserereka uzuri halikupinduka hapo mayowe tu na kelele. Nikatokea dirishani, ile fuso iliyotugonga hamna aliyepona mimi sikuumia sana ila dereva wetu na tingo sidhani kama walipona
hadi tunafika hosptali wanne walikuwa washafariki
 
jaah wagogo au wakaguru?

jaah njoo huku matombo ndizi tu tunapata pesa shule ya nini?
jaah nguruwe tunafugia kilosa
Viwanda vya molases k1, k2 na mtibwa vinafanya gongo iuzwe bei rahisi kuliko soda

jaah shamba la bhange lipo lukobe mwezi ujao tunavuna shule ya nini? Pesa itakuja tu

msimu wa mvua umeisha sasa ni mavuno na kuchoma tofali jaah karibu tubuyu uje uone SGR

Wasomi watatoka mjini huku bush elimu ya nini?

dah watani zangu waluguru
Haha eti jaaaaah!

🤣
 
😂😂😂😂 Wazeeee wa “jaah“umenikumbusha mbali san
 
nilishawahi kukaa na kutembelea baadhi ya sehemu nyingi mjini na vijijini

pale magubike, gairo napakubali kwa viazi vile vyekundu na karanga

mdaula, zomonzi, kizuka, pale mikese nshawahi kupata ajari ya basi siwezi kusahau

mzumbe, udizungwa, kidatu kote na wadau hadi veta mikumi

pale mjini kihonda - kilimanjaro, godesi, kwa komba, mbuyuni mazimbu, siku moja boko alizingua sana akaja daraja la treni pale darkcity ndio akapigwa risasi watu wakala sana nyama siku hiyo
usiende kizembe uchamwinoni labda siku hizi wawe wastarabu

widazcamp, madizini, bigwa, kola hill pale makaburini matukio ni mengi sana

8-8, mzambarauni, msamvu, komoa hadi kule idara ya maji, 7-7 sokoni

we acha tu umenikumbusha mbali sema na miaka sijaenda
Umeuwa sana Mzee umeongea kweli tupu na maeneo hayo ni yakini ! Siku kiboko 🦛 kajichanganya nilikuwa natoka handeni via turiani nadhani ilikuwa 2021 watu wakamla vibaya Yani niliikuta hii stori Moro town nikirudi bongo Nita dwell sana Moro !
 
Waluguru pia wana hiyo mwee na wanyakyusa pia wanasema Tsee ila mnyakyusa akisema tsee ujue kakudharau. Nimeishi sana mbeya rungwe na busokelo.
Tembea uone acha kujifungia lumumba 😅

Ni namna yao ya kushangaa, kama wanyakyusa wanavyosema Mweh, au wakusini wanavyosema baah.
 
mwamko tu wa elimu upo chini hasa kwa wazawa hata zile shule zilizokuwa zinatamba kitambo kwa sasa hamna kitu
st fransis, forest hill, kigurunyembe, junior seminary, kizuka sc sidhani kama bado zinafanya vizuri

umenikumbusha na boma road
Boma road umekulia hapo au ulikaa tuu kidogo?
 
Boma road umekulia hapo au ulikaa tuu kidogo?

pale nilikaa kwa muda kidogo sn, nakumbuka kabla ya ile shule ya msingi upande wa kulia kama unaenda kule juu ipo shule ya msingi na kabla ya ile shule upo mkondo wa maji au daraja limepita pale karibu na shule
kitambo sana sikumbuki vizuri kule juu ipo bar au hotel maarufu

ila nimekulia mikoa tofauti hapa Tz nimesoma shule za msingi zaidi ya 3 katika mikoa tofauti

sipendi kujieleza sana na sipendi marafiki humu JF
Mara ya mwisho nilikuwa na id humu jf iliniletea sana matatizo na siwazi hata kuitumia tena
 
Wadoe(wadoezi) ni wageni uzaramuni,walipewa eneo la kujenga na kuishi,wengi wao wanyamwezi
Aisee..
Muda umeenda, wa leo hii tunawaita "Walugaluga"....
Yaani watu waliokuja mjini lakini bado wanaonegeleshana kilugha chao...
Kwahiyo baadae litageuka kuwa kabila....
 
Back
Top Bottom