Kwanini walinzi wa viongozi huvaa earphone?

Huwa wanasikiliza maelezo kutoka kontroo room na mawasiliano kutoka kurugenzi maalum ya kiulinzi
Ndugu zangu.

Huwa naona walinzi wa viongozi wakubwa katika nchi mbalimbali huvaa ear phone na wakati huohuo huwezi ona wakiongea.

Wanawasilianaje maana huwezi ona wakiongea ?

Masikio hayaumagi kila mara masikio yamezibwa ?

Wajuvi tupeni uzoefu wenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kijana umejitahidi
Kazi ya earphone ni kusikiliza.hata hivyo wanakuwaga na vispeaker vidogo kwenye nguo au saa ya mkononi inaweza kuwa speaker. Hawa ufanyajikazi wao ni kijeshi kupokea amri kutoka control centre. Hapo kwenye msafala wa rais huwa kuna gari mahalumu lenye mitambo inayounganisha mawasiliano katika msafara. Izo earphone zinafanyakazi katika special frequency kwasababu mawimbi mengine ya mawasiliano yanakuwa yamevurugwa kwa technologia mahalum kuzuia mawasiliano mengine nje ya wao yasifanyike. Kwaufupi halipo Rais hata ukijaribu kupiga simu mawasiliano yanakuwa ni shida (siku moja jaribu kupiga simu kwenye msafara wa raisi). Kwaufupi earphone za hao ni kupokea amri.
 
Ni kwa ajili ya kusikiliza miziki...
 
Nadhani ulitaka kumanisha MIC.
 
Back
Top Bottom