Kwanini walinzi wa viongozi huvaa earphone?

Kwanini walinzi wa viongozi huvaa earphone?

Maelezo yako kama yako sawa, ila kiswahili chenu kinafanya MTU asifuatilie maelezo yako. Mf kazi mahalumu , mahali halipo rais nk

Sent using Jamii Forums mobile app
Shemejii zangu wa bukoba wana hilo Tatizo. Hawafanyi makusudi ndivyo walivyo. Mfano hawawezi kuandika asubuhi ni hasubuhi.
 
Hizi Earpieces wanazotuma ni Transceivers kuna scenario huwa wanazungumza japo rare sana hasa kwa Wale Inner circle ambao wataonekana kwa audience ila ambao hawaonekani wanazungumza sana tu Hasa pakitokea sintofahamu, Microphone zipo mikononi zinafunikwa na sleeve za Suit walizovaa, All in All Communication gears ni essential tool Popote alipo VIP, Kuna Instructions nyingi sana Zinatoka kwa Wanao monitor mazingira eneo alilopo Mlindwaji wawe Locally au remotely wanahitaji Mawasiliano
 
Ndugu zangu.

Huwa naona walinzi wa viongozi wakubwa katika nchi mbalimbali huvaa ear phone na wakati huohuo huwezi ona wakiongea.


Wanawasilianaje maana huwezi ona wakiongea ?

Masikio hayaumagi kila mara masikio yamezibwa ?

Wajuvi tupeni uzoefu wenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanakula ngoma tu...
 
HIZO ni Radio call za kisasa!! zamani walikuwa wanaongea kwa nguvu na miradio mikuubwa! mkonga hata wa pembeni anasikia lkn siku hizi no!! ni mwendo wa ear phone tu!!

kikitokea chochote cha kutokea kuhusu Rais alipo dakika sifuri nchi nzima imejua kiusalama ni taharuki tupu nchi nzima, hata ile miwani myeusi ni x-ray wanaona ndani mpaka uchi wako ulivo, km kibamia, umenyoa/hujanyoa vuzi haya utaonwa,

ile miwani ni hatare hata usiku wa giza totoro wanavaa tu, tena sometimes wanakwenda mbio hao hawakosei njia wala kujikwaa ndo ujue ile miwani ni hatare ina jina lake maalum nimelisahau kidogo!

ukijamba kawaida au una tu-mavi hujachamba vizuri haya!! unaonwa mwenzangu, huonagi board guard wengine wanacheka au kukukazia macho hivi kwa saana, hadi unaogopa!! hasa walinzi vijana vijana !! ile miwani ni hatere! inachunguza bastola na mabomu!

Pale iko hivi wasipo kuona mpaka ndani ya uchi wako tu!! lazima udakwe ukapekuliwe faster kwenye gari maalum, tena mbali hukoo na msafara, nasema haya nayajua vizuri mno! tena wanakuangalia tu wanajua, wana saikolojia kali sana na ya faster!

km unajikojolea wanaona una bomu wanaona, ukisimamisha wanaona, tena sasa hata ukiwa kariibu na Mama usidise, km ikitokea kudisa mbele yake utashangaa siku hiyo, km una tabia ya kutamani hovyo lazima utalambwa tu faster, Mzobe mzobe!

si unaona Mama akiongea kisauti chake kile! wanaume wote hawamuangalii machoni? akiongea wanaangalia pembeni chunguza uone! wanaogopa kudakwa, mlinzi wa Mama ni ke!! make hawa vijana hawakawii kujichanganya!
 
kuna kitu kinaitwa Synchronization mkuuu hii ni technology inayowaunanisha watu zaid ya mmoja kuwa katika mawasilaino kwa kutumia hivo vyombo unavoviona masikioni mwao hapo anakuwa anaoengea au anasikiliza mazungumzo ya team nzima ya ulinzi kuanzia mlanoni anakotoka mpaka anapofika mahala alipoandaliwa,
Hii inasaidia kurahisisha usafirishwaji salama wa mtu anayelindwa mfano anaweza kuwa yuko ndani kuna kikao kinaendelea ila nje kuavamiwa au kukatokea shida yoyote ile ile kupitia hizo erphone wanatoa taarifa kwa haraka kuhusu aina ya tukio, watu wanaoshiriki pamoja na silaha wanazotumia na kama wanaweza kukabiliana nao au wachukue hatua nyinine zozote. Kwahiyo pale anakuwa anasikiliza na kuongea kwa kutumia hiyo ear phone
acha uongo bhana wale ni wasikilizaji tu na kuongozwa, hawaongei, wala kujibu chochote wao ni kulinda mwili tu!! na kufanya maamuzi ya haraka, km kuna shida yeyote! wanajua kutest zari, km mtu akijirengesha kwa Rais!

walinzi wa kuongea na kujibu wako kwingine kabisa mita 60 mbele nyuma pembeni hukooo! huwaoni
wanaweza sema ''kamata alfa'' = manake kimbilia kushoto haraka, ''ikotika Balao''-- simamisha msafara haraka nyuma bado kweupe rudini! kikawaida tu!

Wanaweza sema '' Kinyonga faster oo1!!'' manake punguzeni speed ya Msafara lkn shwari tu! apo kuna mtu au mlevi anaingilia msafara wa Rais. lkn hana tatizo . akisema hilo neno then oo4! ni hatare zaidi!

Sasa hapo ndo utaona makomandoo wanaruka sarakasi zao ki ghafla tena faster, km alivo fanya Commandor marehemu Tamimu, kasi isiyo kuwa ya kawaida utadhani unaota vile!!

Rais anakunjwa km karatasi, anaweza rushwa hata gari la kiraia lolote linalo faa kwa wakati huo, pale alipo anawekwa mwingine tu wa karibu dakika sifuri. Rais!! amepotea mazingira hatarishi.

hata ikitokea akiwa ghorofa ya kumi juu wanashuka nae faster bila kutumia ngazi, na hachubuki!! km ilivotokea kwa Thatcher miaka flani huko, wale mlio pitia JKT A'' coy'' 823 jk, ya Mwinyi mnanielewa, namna ya kuvuka viunzi hatarishi

hapohapo unavuka viunzi mita 60 down mbaya, na bado mgongoni ukiwa na zigo la Pack, jembe, Bunduki machine gun full magazine , sururu, na zigo la mabomu ni rahisi mno! usicheze na comandor wewe mtoto! ni hatare lkn salama! wakiwa sita tu wanatosha sana!
 
Duuuh hatar nilijua nimeshajua kila kitu hapa bongo kumbe bado kabsa leo mpaka nimejua style ya kinyoga faster 001 na 004[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]sio poa mkali wangu salute kwako
 
Back
Top Bottom