Kwanini walinzi wa viongozi huvaa earphone ?

Ndugu zangu.

Huwa naona walinzi wa viongozi wakubwa katika nchi mbalimbali huvaa ear phone na wakati huohuo huwezi ona wakiongea.

Wanawasilianaje maana huwezi ona wakiongea ?

Masikio hayaumagi kila mara masikio yamezibwa ?

Wajuvi tupeni uzoefu wenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
kuna kitu kinaitwa Synchronization mkuuu hii ni technology inayowaunanisha watu zaid ya mmoja kuwa katika mawasilaino kwa kutumia hivo vyombo unavoviona masikioni mwao hapo anakuwa anaoengea au anasikiliza mazungumzo ya team nzima ya ulinzi kuanzia mlanoni anakotoka mpaka anapofika mahala alipoandaliwa,
Hii inasaidia kurahisisha usafirishwaji salama wa mtu anayelindwa mfano anaweza kuwa yuko ndani kuna kikao kinaendelea ila nje kuavamiwa au kukatokea shida yoyote ile ile kupitia hizo erphone wanatoa taarifa kwa haraka kuhusu aina ya tukio, watu wanaoshiriki pamoja na silaha wanazotumia na kama wanaweza kukabiliana nao au wachukue hatua nyinine zozote. Kwahiyo pale anakuwa anasikiliza na kuongea kwa kutumia hiyo ear phone
 
Ndugu zangu.

Huwa naona walinzi wa viongozi wakubwa katika nchi mbalimbali huvaa ear phone na wakati huohuo huwezi ona wakiongea.

Wanawasilianaje maana huwezi ona wakiongea ?

Masikio hayaumagi kila mara masikio yamezibwa ?

Wajuvi tupeni uzoefu wenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakivaa earphone ujue hapo wana sikiliza ngoma za weusi haswa ile waporoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kazi ya earphone ni kusikiliza.hata hivyo wanakuwaga na vispeaker vidogo kwenye nguo au saa ya mkononi inaweza kuwa speaker. Hawa ufanyajikazi wao ni kijeshi kupokea amri kutoka control centre. Hapo kwenye msafala wa rais huwa kuna gari mahalumu lenye mitambo inayounganisha mawasiliano katika msafara. Izo earphone zinafanyakazi katika special frequency kwasababu mawimbi mengine ya mawasiliano yanakuwa yamevurugwa kwa technologia mahalum kuzuia mawasiliano mengine nje ya wao yasifanyike. Kwaufupi halipo Rais hata ukijaribu kupiga simu mawasiliano yanakuwa ni shida (siku moja jaribu kupiga simu kwenye msafara wa raisi). Kwaufupi earphone za hao ni kupokea amri.

Umenikumbusha kwenye money heist jamaa waliamua kuachana na earphones kuepuka kudukuliwa na baada ya hapo wakaanza kutumia analog nikasema kama ni hivyo mawasiliano ya rais ni vp...kumbe jamaa wana discard other signals....
 
Kazi ya earphone ni kusikiliza.hata hivyo wanakuwaga na vispeaker vidogo kwenye nguo au saa ya mkononi inaweza kuwa speaker. Hawa ufanyajikazi wao ni kijeshi kupokea amri kutoka control centre. Hapo kwenye msafala wa rais huwa kuna gari mahalumu lenye mitambo inayounganisha mawasiliano katika msafara. Izo earphone zinafanyakazi katika special frequency kwasababu mawimbi mengine ya mawasiliano yanakuwa yamevurugwa kwa technologia mahalum kuzuia mawasiliano mengine nje ya wao yasifanyike. Kwaufupi halipo Rais hata ukijaribu kupiga simu mawasiliano yanakuwa ni shida (siku moja jaribu kupiga simu kwenye msafara wa raisi). Kwaufupi earphone za hao ni kupokea amri.
Wanakuwa na signal jammer.... Hii kitu ni ya kibabe sana. Hata ukiwa na bom la kuteguliw kwa remote signal zinaweza zingua kwa sana tu.

Lakin haya hutokea au huwa activated kutokana na taarifa za awali za kiusalama
 
Ndugu zangu.

Huwa naona walinzi wa viongozi wakubwa katika nchi mbalimbali huvaa ear phone na wakati huohuo huwezi ona wakiongea.

Wanawasilianaje maana huwezi ona wakiongea ?

Masikio hayaumagi kila mara masikio yamezibwa ?

Wajuvi tupeni uzoefu wenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani huvaa earphones kwa sababu za kiulasama zaidi... Kama kupokea order mbali mbali za dharura!
 
Kazi ya earphone ni kusikiliza.hata hivyo wanakuwaga na vispeaker vidogo kwenye nguo au saa ya mkononi inaweza kuwa speaker. Hawa ufanyajikazi wao ni kijeshi kupokea amri kutoka control centre. Hapo kwenye msafala wa rais huwa kuna gari mahalumu lenye mitambo inayounganisha mawasiliano katika msafara. Izo earphone zinafanyakazi katika special frequency kwasababu mawimbi mengine ya mawasiliano yanakuwa yamevurugwa kwa technologia mahalum kuzuia mawasiliano mengine nje ya wao yasifanyike. Kwaufupi halipo Rais hata ukijaribu kupiga simu mawasiliano yanakuwa ni shida (siku moja jaribu kupiga simu kwenye msafara wa raisi). Kwaufupi earphone za hao ni kupokea amri.
Naona anakuwa muda wote wame-encrupt mawasilano yao, kama walivyofanya majasusi wa Mossad kwenye operation yao kule Dubai
 
Wanakuwa na signal jammer.... Hii kitu ni ya kibabe sana. Hata ukiwa na bom la kuteguliw kwa remote signal zinaweza zingua kwa sana tu.

Lakin haya hutokea au huwa activated kutokana na taarifa za awali za kiusalama
Wana jam mawasilano tuseme kwa radius kama ya kilomita ngapi?
 
Una ajenda gani?
Nina agenda ya kutaka kujua kama nikihitaji mawasilano katika eneo ambalo wanakuwepo, ninatakiwa nikae umbali gani. Kuna siku niliwahi kukosa mawasiliano kwa sababu walikuwa wamekuja kwenye mazingira ya ofisini kwetu!
 
Sijajua yanazungumziwa mawasiliano ya aina gani lakini nakumbuka mimi nilikuwa eneo la tukio na nikawa na access ya internet vilevile

Back
Top Bottom