Kwanini walinzi wa viongozi huvaa earphone?

Ndugu zangu.

Huwa naona walinzi wa viongozi wakubwa katika nchi mbalimbali huvaa ear phone na wakati huohuo huwezi ona wakiongea.

Wanawasilianaje maana huwezi ona wakiongea ?

Masikio hayaumagi kila mara masikio yamezibwa ?

Wajuvi tupeni uzoefu wenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia muvi hizi..
Vantage point
3 days
24hrs
 
huwa wanasikiliza command na kupokea taarifa za halo zakiusalama kutoka eneo husika kwa chini inakuwa imeunganishwa na radio.

Screenshot_20191223-204755.png
 
Kazi ya earphone ni kusikiliza.hata hivyo wanakuwaga na vispeaker vidogo kwenye nguo au saa ya mkononi inaweza kuwa speaker. Hawa ufanyajikazi wao ni kijeshi kupokea amri kutoka control centre. Hapo kwenye msafala wa rais huwa kuna gari mahalumu lenye mitambo inayounganisha mawasiliano katika msafara. Izo earphone zinafanyakazi katika special frequency kwasababu mawimbi mengine ya mawasiliano yanakuwa yamevurugwa kwa technologia mahalum kuzuia mawasiliano mengine nje ya wao yasifanyike. Kwaufupi halipo Rais hata ukijaribu kupiga simu mawasiliano yanakuwa ni shida (siku moja jaribu kupiga simu kwenye msafara wa raisi). Kwaufupi earphone za hao ni kupokea amri.
 
Good observation

Bazazi

Kwaufupi halipo Rais hata ukijaribu kupiga simu mawasiliano yanakuwa ni shida (siku moja jaribu kupiga simu kwenye msafara wa raisi). Kwaufupi earphone za hao ni kupokea amri.
Kama mawasiliano ya Kinana, Nape, Membe na timu yake yalinaswa na wako mbali na mbali sasa ujilipue kupiga simu karibu na msafara
 
Back
Top Bottom