Kwanini walimu wengi wamekamatwa Qnet?

Vitalis Konga

Senior Member
Sep 22, 2018
110
250
Habarini,bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada,kwa nini walimu wengi wamekamatwa na Qnet wakati halide zao za maisha zikiongezeka kwa tight

Majibu yenu yatasaidia kuwakomboa au kuwaumiza walimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
A H 2

New Member
Dec 13, 2015
2
20
Network marketing za weka pesa yako ujiunge ni utapeli rifaro wamepiga huku watz wengi kisha hao wemeondoka kuna forever living hawa nao unawafanyia kazi wao na kuwatajirisha hawa mabepari na mfano wa forever living kuna Qnet hawa kujiunga na kufundishwa namna kuhamasisha watu wajiunge na Qnet ni $2000 kwa rate leo ni million 4.7. Network marketing za kuaminika na unaweza fanya biashara kwa kununua na kuuza Ni Alibaba,kikuu,jumia na mfano wa hizo maana hizi hakuna cha joining fee. Uwe makini unapowatetea hawa wezi mfano Qnet mtakujasikia "Qnet has shutdown their office in Tanzania" hapo sasa uliye wahamasisha wenzio wa'join Qnet sijui utawalipa wewe pesa zao walizo zitumbukiza huko.
 
NZURI PESA

JF-Expert Member
Mar 25, 2011
5,995
2,000
Walimu hunifurahisha Sana inapotokea suala la biashara yoyote ile imepelekwa shuleni au OFISINI kwao hata Kama hakuwa na bajeti nayo atakopa au kununua kwa mfano shule ipo kijijini HAKUNA umeme na hautarajiwi kupelekwa, na biashara iliyoletwa shuleni ni MAJIKO YA UMEME, HEATERS,PASI ZA UMEME, BLENDERS, N.K LAKUSHANGAZA MMOJA AKIKOPA JIKO PASI NA HEATER NA WENGINE WANAIGA ILHAL HAWATA YATUMIA
 
rbt

Member
Nov 28, 2014
80
125
Network marketing za weka pesa yako ujiunge ni utapeli rifaro wamepiga huku watz wengi kisha hao wemeondoka kuna forever living hawa nao unawafanyia kazi wao na kuwatajirisha hawa mabepari na mfano wa forever living kuna Qnet hawa kujiunga na kufundishwa namna kuhamasisha watu wajiunge na Qnet ni $2000 kwa rate leo ni million 4.7. Network marketing za kuaminika na unaweza fanya biashara kwa kununua na kuuza Ni Alibaba,kikuu,jumia na mfano wa hizo maana hizi hakuna cha joining fee. Uwe makini unapowatetea hawa wezi mfano Qnet mtakujasikia "Qnet has shutdown their office in Tanzania" hapo sasa uliye wahamasisha wenzio wa'join Qnet sijui utawalipa wewe pesa zao walizo zitumbukiza huko.
Jamani jaribuni kusima vitabu basi mana hii hatari aisee duh mhhh!!!! ehee .
 
Drat

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
543
1,000
Kweli tujisomee, mfano wa term kama network marketing haziwezi kutumika kumaanisha biashara kama ya alibaba.com hii ni online business,watu wanachanganya vitu. Hao kina qnet,rifaro e.t.c ni network marketing,pia sio kila network marketing ni pyramid scheme,kosa lao huwa ni kuwahadaa watu kuwa kuna mbingu ya fasta. Ushauri:ni bora kuanzisha biashara ya pamoja kwa hizo milioni nne NNE mkiwa watatu,mtafanikiwa.Hizi biashara za wenzetu haziendani na utamaduni na uchumi wetu kwa sasa,labda baadae.
 
Kinoamiguu

JF-Expert Member
Nov 29, 2018
2,858
2,000
Walimu weng thinking capacity yao ni ndogo japo sio wote mkuu
walimu wa level gani? ulipimaje thinking capacity, wewe kitaaluma ninani? thinking capacity yako ni kubwa kiasi gani nani alikupima alikulinganisha nani? unaelimu gani ? ulishafikiria kitu gani kikakufanya uhisi your thinking capacity is higher
je unajua hata ma Prof ni walimu?
mm sio mwalimu nimekujibu kwakuwa umeandika utoto
 
DiasporaUSA

JF-Expert Member
Aug 27, 2016
22,836
2,000
Tunakoelekea hata unga,viungo vya kupikia ,nyanya,chumvi na n.k hatutakuwa Tunaenda sokoni tena kununua Bali tutakuwa tukiagiza tu mtandaoni thus why network marketing is the dominant marketing for the future time

Sent using Jamii Forums mobile app
Future ya wapi wewe. Mimi huu ni mwaka wangu wa tatu hapa East London lakini sijaona hicho unakiongea.
 
hearly

JF-Expert Member
Jun 19, 2014
38,517
2,000
Yeah wa primary, ila alikuwa anataka hamia mjini akitoboa Qnet kashabet Biko sana!.

katiba yenu ile ya kijani inasema "Uongo kwangu mwisho!"...
Hahaha baada ya kufichwa muda mrefu na Shunie hatimae leo umeruhusiwa kurudi kwenu

Wanawake wa tanga sio watu aise
 
Mtimkavuorg

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
319
250
Ata mm nilifuatwa na mwalimu aliyeacha kazi nijiunge nikachomoa sitaki ujinga mm bora nibaki njia kuu
 
Bujoro

JF-Expert Member
Jan 30, 2018
2,898
2,000
You said well, hapo ndio watu wengine wanapochanganya, network market ndo hiyo watu wananaswa kama kwenye spider web, unajiunga kisha utatafuta watu wengine wa kuwaunga huku unauza products zao (hii shida) lakini network business ndio dunia iko uko unatafuta products unayoitaka unanunua online then wana deliver products zako. Sasa hii ya forever living, qnet,rifaro na wenzao, ni ujinga ujinga tu
Mkuu hivi rifaro africa bado ipo maana ilishika kasi miaka kama mi3 iliyopita baraa.
 
Slowly

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
3,298
2,000
Hakuna kaz ya kiboya tz kama ya ualimu, ukiwa mjanja hyo kaz hutakiwi kufanya more than 5 yrs
 
instagram

JF-Expert Member
May 27, 2014
887
1,000
Mkuu usipende kumushangaa kila mtu kwa Kazi anyoifanya. Hujui network marketing ndo biashara iliyopamba karne hii ya 21 na hujui kuwa baada ya miaka kumi ijayo network marketing ndo itakuwa the leading market in the world tatizo la wabongo wengi tunapenda Sana kuangalia movie &TV kuliko kusoma vitabu vingi vinavyoonyesha uhalisia wa Dunia ilipo na inakoelekea. Kwa wenzetu ulaya naweza SEMA huwa wapo mbele yetu kwa karne Kama moja Hivi coz kwa upande wao network marketing ilishaanza kitambo Sana na ndo biashara iliyo dominate huko kuliko local marketing ila kwa Tanzania na Africa kwa ujumla ndo bado tunaona Kama network marketing hailipi kwasababu wengi wetu bado tunaishi ktk maisha ya kijimaa . Ukitaka kuhakikisha ukweli wangu fuatillia matajri wengi duniani kama hawapo kwenye Mlm Mfano Angalia utajiri wa waanzailishi wa Network marketing Kama
Facebook
Alibaba
Amazon
Ebbay
Western Union
Harfu ndo utajua maana na Siri iliyojificha kwenye network marketing

Note: Siyo kila network marketing Ni nzuri kujihusisha nop zingine zimejaa utapeli TU na usiingie kwenye mfumo wa Network marketing pasipo kuwa na Elimu ya kutosha au akri iliyofunguka Zaidi juu ya utandawaziiii.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hili jibaba wala halijui maana ya Network marketing
 
instagram

JF-Expert Member
May 27, 2014
887
1,000
Kwanza mkisema sijui network marketing mnakua mnakosea Sana, wangeeita labda chain marketing hivi ingekaa poa.
By the way wenye network marketing ya ukweli kabsa kama ebay, Facebook n.k hawa ndo wanafanya kazi sio hao wengne wanaodanganyana
Boya wew hata hujui unchokiandika yaani unachanganya e-commerce na network marketing
 
instagram

JF-Expert Member
May 27, 2014
887
1,000
Network marketing za weka pesa yako ujiunge ni utapeli rifaro wamepiga huku watz wengi kisha hao wemeondoka kuna forever living hawa nao unawafanyia kazi wao na kuwatajirisha hawa mabepari na mfano wa forever living kuna Qnet hawa kujiunga na kufundishwa namna kuhamasisha watu wajiunge na Qnet ni $2000 kwa rate leo ni million 4.7. Network marketing za kuaminika na unaweza fanya biashara kwa kununua na kuuza Ni Alibaba,kikuu,jumia na mfano wa hizo maana hizi hakuna cha joining fee. Uwe makini unapowatetea hawa wezi mfano Qnet mtakujasikia "Qnet has shutdown their office in Tanzania" hapo sasa uliye wahamasisha wenzio wa'join Qnet sijui utawalipa wewe pesa zao walizo zitumbukiza huko.
Ebu kama hamjui IT muwe mnaacha kukoment vitu vya ajabu ajabu siyo lazim uonekane unajua hata visivyokuhusu kukaa kimya siyo ujinga
 
makinika18

Member
Nov 16, 2018
40
125
Inaonekana haujui maana ya network marketing, hizo ulizozitaja hapo sio networking marketing
Mkuu usipende kumushangaa kila mtu kwa Kazi anyoifanya. Hujui network marketing ndo biashara iliyopamba karne hii ya 21 na hujui kuwa baada ya miaka kumi ijayo network marketing ndo itakuwa the leading market in the world tatizo la wabongo wengi tunapenda Sana kuangalia movie &TV kuliko kusoma vitabu vingi vinavyoonyesha uhalisia wa Dunia ilipo na inakoelekea. Kwa wenzetu ulaya naweza SEMA huwa wapo mbele yetu kwa karne Kama moja Hivi coz kwa upande wao network marketing ilishaanza kitambo Sana na ndo biashara iliyo dominate huko kuliko local marketing ila kwa Tanzania na Africa kwa ujumla ndo bado tunaona Kama network marketing hailipi kwasababu wengi wetu bado tunaishi ktk maisha ya kijimaa . Ukitaka kuhakikisha ukweli wangu fuatillia matajri wengi duniani kama hawapo kwenye Mlm Mfano Angalia utajiri wa waanzailishi wa Network marketing Kama
Facebook
Alibaba
Amazon
Ebbay
Western Union
Harfu ndo utajua maana na Siri iliyojificha kwenye network marketing

Note: Siyo kila network marketing Ni nzuri kujihusisha nop zingine zimejaa utapeli TU na usiingie kwenye mfumo wa Network marketing pasipo kuwa na Elimu ya kutosha au akri iliyofunguka Zaidi juu ya utandawaziiii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom