Network marketing za weka pesa yako ujiunge ni utapeli rifaro wamepiga huku watz wengi kisha hao wemeondoka kuna forever living hawa nao unawafanyia kazi wao na kuwatajirisha hawa mabepari na mfano wa forever living kuna Qnet hawa kujiunga na kufundishwa namna kuhamasisha watu wajiunge na Qnet ni $2000 kwa rate leo ni million 4.7. Network marketing za kuaminika na unaweza fanya biashara kwa kununua na kuuza Ni Alibaba,kikuu,jumia na mfano wa hizo maana hizi hakuna cha joining fee. Uwe makini unapowatetea hawa wezi mfano Qnet mtakujasikia "Qnet has shutdown their office in Tanzania" hapo sasa uliye wahamasisha wenzio wa'join Qnet sijui utawalipa wewe pesa zao walizo zitumbukiza huko.