Shamuse_bey
JF-Expert Member
- Jun 15, 2026
- 467
- 596
Kumbe inawezekana mbwa kamzidi binadamu ujasiri na namna ya kumsoma mtu asie sahihi na mazingira.
wajanja wajanja sana 🤣hawa viumbe huwa wananipa burudani ukikaa nao lazima uvunjike mbavu
Mbwa aing'ati pombe.Kuna uhusiano gan kati ya mlevi na mbwa
Huwez kuta mlevi anakimbizwa na mbwa badala yake humuona kama mpuuzi fulani kama alikuwa anabweka basi atasitisha
Walevi tupeni siri
Labda yule mbwa wa kwenu ambae ukipiga chafya mkia wake unapita chini ya miguu inaambaa na tumbo kutokezea chini ya kidevu chakeKuna uhusiano gan kati ya mlevi na mbwa
Huwez kuta mlevi anakimbizwa na mbwa badala yake humuona kama mpuuzi fulani kama alikuwa anabweka basi atasitisha
Walevi tupeni siri
L
Labda yule mbwa wa kwenu ambae ukipiga chafya mkia wake unapita chini ya miguu inaambaa na tumbo kutokezea chini ya kidevu chake
huyo mbwa si ile mbegu ya yule mbwa wako au umesahauL
Labda yule mbwa wa kwenu ambae ukipiga chafya mkia wake unapita chini ya miguu inaambaa na tumbo kutokezea chini ya kidevu chake
Mi mbwa wangu ni put dog hawana huruma kabisahuyo mbwa si ile mbegu ya yule mbwa wako au umesahau