Chinchiler
JF-Expert Member
- Jul 29, 2022
- 2,701
- 3,442
Nazani hapa unaongelewa ulimwengu mwingine kabisa ukiwa umelewa akili na maarifa yako yanakuwa katika ulimwengu mwingine mbwa Ili akuone na hatia lazima uwe katika ulimwengu wake
mkuu umejibu kitaalam zaidi na huo ndio ukweli coz ile tembea yenyewe mbwa anajua unajianda na kutake position kwa mashambulizi hapo anaona kuwa huyu sitakuwa na pakukimbilia coz anakanyaga kote koteNazani hapa unaongelewa ulimwengu mwingine kabisa ukiwa umelewa akili na maarifa yako yanakuwa katika ulimwengu mwingine mbwa Ili akuone na hatia lazima uwe katika ulimwengu wake