Nimepiga Nyagi kabisaaa...thubuthuuUtabakwa km hutokabwa utabakwa tunza kinyeeo chako
kwahiyo unawashauri vipi wezi wanaoenda kuiba eneo lenye mbwaYaani, wachawi Huwa hawanaga time na wavuta bange na waleviii
Mimi ni mlevii hivyo sisi walevii Huwa tuna confidence mbwa Huwa anaweza sense mapigo ya moyo ya mtu mwoga ☺️😊
Nimegonga Bapa zangu za Nyagi kabisaa ...nani anigusee?!!Utagongwa shauri yako hujakutana na mbwa umekutana na kijibwa siku ukikutana na mbwa utaliwa tako
Bush Party Mkuu usinisahau ukiuza Mazao,tuje tunywe Ulanzi na Mnazimkuu hapa nimepga bapa kadhaa nipo farm nalinda mazao yangu ila ningekuw mweupe nisngetoboa mana hapa nilipo kunamastor mengi mala jin kamzngua mtu ila nikiwa hivi hakuna jambo nahofia, na pemben kunakijimsitu nasikia saut za bundi tu.. ila sina time nazo.. nb hofu ndo hufanya tpate mauzauza ukiondoa hofu no wani keni stopu yu. nadhani umenelewa
nimekuelewa mzee wa tungimkuu hapa nimepga bapa kadhaa nipo farm nalinda mazao yangu ila ningekuw mweupe nisngetoboa mana hapa nilipo kunamastor mengi mala jin kamzngua mtu ila nikiwa hivi hakuna jambo nahofia, na pemben kunakijimsitu nasikia saut za bundi tu.. ila sina time nazo.. nb hofu ndo hufanya tpate mauzauza ukiondoa hofu no wani keni stopu yu. nadhani umenelewa
Au anaweza kufika huko shambani akaanza kuongea Kiingereza.Sasa wachawi wachukue mlevi akalime kwa sababu gan. Maana mlevi tayar ameshachoka. Unaweza kumfikisha shamban akalala na asiwe productive 😊😊😊😊
usiwaze mkuu sema ndo vile wakulima hatuna chetu nchi hii. mbegu bei juu mbolea mwaka huu ndo usiseme lakn mda wa mavuno bei za kikuda sana, lakn sio kinyonge kalibu mkuu tumalizie bapa hapa!Bush Party Mkuu usinisahau ukiuza Mazao,tuje tunywe Ulanzi na Mnazi
We utakuwa unalewa visungura😅😅😅Kuna uhusiano gan kati ya mlevi na mbwa
Huwez kuta mlevi anakimbizwa na mbwa badala yake humuona kama mpuuzi fulani kama alikuwa anabweka basi atasitisha
Walevi tupeni siri
pa1 sana mkuu ila kalibu tuipige bapa hapa,japo haziingii mana huku balidi kama bara la antaktikanimekuelewa mzee wa tungi
R.p.c olomi , kipindii akiwa Rpc Kwake kulikua na JIBWA kubwaa Kali sana ila nilikua nikipeleka askari lindoni jamaa mmoja nimwite afande P alikua ana uwezo mkubwa wa ku copu na mbwa.Siri ni hofu na wasiwasi...
Mlevi hana hofu wala wasiwasi pindi akiwa tungi.
Mbwa na carnivora walio wengi wanasoma saikoloji na tabia ya mtu pindi anakutana nae mbwa atapambana [kukuacha ama kukusumbua/uma] wewe kutokana na reaction yako.
Kupitia saikoloji mbwa akikuona tu anajua huyu hana shida, huyu anawenge sana atakua mwizi.
Na akishundwa kabisa kukusoma yaani hueleweki anatumia mbinu ya kuku tease kidogo, sasa reaction yako ndio itakayokuponza ama kukuponya.
Wale mbwa wa asili ukikutananae hata usiwe na wasiwasi hata abweke vipi kama unapita usisite wewe pita kati kati yao hawakufanyi kitu.
Ila hawa wa kisasa hawatabiliki kwani wameboreshwa tabia zao[instincts] kupitia breeding na GMO.