Hata nyoka Huwa hawanaga time na waleviiiikwann wanakipi kinachowafanya wapuuzwe
Hili ndo jawabu sahihi na tosha:Nanukuu:Mimi ni mlevii hivyo sisi walevii Huwa tuna confidence mbwa Huwa anaweza sense mapigo ya moyo ya mtu mwogaYaani, wachawi Huwa hawanaga time na wavuta bange na waleviii
Mimi ni mlevii hivyo sisi walevii Huwa tuna confidence mbwa Huwa anaweza sense mapigo ya moyo ya mtu mwoga ☺️😊
Ndiyo. Haswaaa.kwahiyo unataka kuniambia pombe humfanya mtu ajiamini zaidi
Zaidi ya kuwa google au kuwaona kwenye TV, Matajiri umewaona wapi?Nataka niwaambie, HAKUNA TAJIRI ANAYELEWA.
Utabakwa km hutokabwa utabakwa tunza kinyeeo chakohata wakabaji watakupisha tuu.
Hawa huonekana mara moja-moja misibani au kwenye harusi.Zaidi ya kuwa google au kuwaona kwenye TV, Matajiri umewaona wapi?
Aliko Dangote, Nairobi kenya, dar,lagos nk.Zaidi ya kuwa google au kuwaona kwenye TV, Matajiri umewaona wapi?
Siri ni hofu na wasiwasi...Kuna uhusiano gan kati ya mlevi na mbwa
Huwez kuta mlevi anakimbizwa na mbwa badala yake humuona kama mpuuzi fulani kama alikuwa anabweka basi atasitisha
Walevi tupeni siri
Ww sehem unapoenda kulewa huwez kukutana na matajiri.Nataka niwaambie, HAKUNA TAJIRI ANAYELEWA.
Mlevi mmoja,alisikika😁Walevi tunatumia magari kwenda ulevini na kurudi , hapo unatafunwa vipi na mbwa wa kimatumbi ambao wamelegea mpaka miguu.
Uzi unaanza kunuka kinyesiJITU LINAKUNYA MAFUNGU MAFUNGU KAMA WAO HOVYO UNAFIKIRI MBWA ATAKUWA NA TIME NALO NDUGU
Asante kwa majibu mazuriSiri ni hofu na wasiwasi...
Mlevi hana hofu wala wasiwasi pindi akiwa tungi.
Mbwa na carnivora walio wengi wanasoma saikoloji na tabia ya mtu pindi anakutana nae mbwa atapambana [kukuacha ama kukusumbua/uma] wewe kutokana na reaction yako.
Kupitia saikoloji mbwa akikuona tu anajua huyu hana shida, huyu anawenge sana atakua mwizi.
Na akishundwa kabisa kukusoma yaani hueleweki anatumia mbinu ya kuku tease kidogo, sasa reaction yako ndio itakayokuponza ama kukuponya.
Wale mbwa wa asili ukikutananae hata usiwe na wasiwasi hata abweke vipi kama unapita usisite wewe pita kati kati yao hawakufanyi kitu.
Ila hawa wa kisasa hawatabiliki kwani wameboreshwa tabia zao[instincts] kupitia breeding na GMO.
Utagongwa shauri yako hujakutana na mbwa umekutana na kijibwa siku ukikutana na mbwa utaliwa takoNi ule muyumbo yumbo wa Mwili na ku nesanesa basi Mbwa anapenda na kufurahia sana kwa kutikisa mkia wake na ki bweko Cha....-...uuuuuuuuhuuuuu...iiiii
akielekeza kichwa chake angani