Kwanini wake za watu ndio wanaongoza kuchepuka?

Utaanza kutamani uione hata ya mlinzi au shamba boy ikoje kwanza! Utapita na viumbe vya ajabu mpaka huyo mume aseme! Ukiingia mitandao ya kijamii wanasifia umbo fulani afu huyu wa kuotwa mme mwema hana🤗View attachment 3555325imagine ukutane na story kama hii, si itakuletea nightmares za kutosha! Imagine ss ushaonja hizi zote ata mada ikiletwa mezani unaelewa nini wanaongelea, unawazoom tu ushamaliza zako semester🤸🏽‍♀️😂
Jamani ila mambo haya, nyie acheni tyuuh.
Nina kisanga ki1, kile kinanifanya niamini yule muhusika atachapiwa hata amuoe bikra, sio kwa ufuto ule.
😂😂😂
 
😂😂😂 mama mtumishii. Mbona.......
Ndo ukweli mi unafiki siwezi
Mwanaume kubembeleza hawezi
Fore play hawezi sijui hataki masna ht sielewi😆
Ss inakuaje jmn si ndo kuumizana kwann mtu asitoke nje??
Ndo maana wapaka rangi, na boda na house boy ndo wanagonga wake za watu
 
Nauliza tu swali kwanini wake za watu ni wepesi na wanaongoza kuchepuka kuliko wasichana wasioolewa?

Wake za watu ndio wanaongoza kuchepuka

With experience Nimetongiza wanawake 8 na wote nimekuja kugundua ni wake za watu na wote wamekubali na 5 nimetoka nao na 3 wananisumbua

Nauliza kwanini wake za watu ndio wanagawa sana kuliko wasichana wa kawaida

Ndoa zipo salama kweli nawaza Sana tunaelekea wapi?
Nawe Oa utajua unafanya au kuongea ni uupuzi
 
Mimi sichepki ila haya yapo sana
kwann utwange kama kisamvu jamani🫢
Mtu siku akipata kishawishi akajaribu akakutana na rumba ndoa imeisha
Anae chepuka na wewe ambae una ona ana kutosheleza nae mke wake anaona kama hamtoshelezi , nyie vijana wa sasa hamjui kuwa ndoa inahitaji uvumilivu na kubeba tatizo la mwenzako kama la kwako?
 
Kwa upande wa pili nasikia et wanaume wanaopenda kuchepka
Wanaoongoza ni wale wenye vidude kama kidole cha mwisho yaan unaambiwa huyo hatulii nyumbani mpka ahakikishe ana mdhalilisha mke wake 😆 mke kakukubari ulivyo hajasema popote wewe tena kiguu na njia kujizalilisha🙌
 
Jamani ila mambo haya, nyie acheni tyuuh.
Nina kisanga ki1, kile kinanifanya niamini yule muhusika atachapiwa hata amuoe bikra, sio kwa ufuto ule.
😂😂😂
Lete hicho kisanga mamtu🤸🏽‍♀️
 
Kwa upande wa pili nasikia et wanaume wanaopenda kuchepka
Wanaoongoza ni wale wenye vidude kama kidole cha mwisho yaan unaambiwa huyo hatulii nyumbani mpka ahakikishe ana mdhalilisha mke wake 😆 mke kakukubari ulivyo hajasema popote wewe tena kiguu na njia kujizalilisha🙌
😂😂😂 msinichekeshe, huo ujasiri wanapata wapiii? Lol
 
Anae chepuka na wewe ambae una ona ana kutosheleza nae mke wake anaona kama hamtoshelezi , nyie vijana wa sasa hamjui kuwa ndoa inahitaji uvumilivu na kubeba tatizo la mwenzako kama la kwako?
Mkuu mimi nikiolewa nitacheza na mume wangu nimekatazwa kula kwa watu ni vibaya
 
Back
Top Bottom