Kwanini wake za watu ndio wanaongoza kuchepuka?

Kwanini wake za watu ndio wanaongoza kuchepuka?

Kama ukimuomba Mungu akuondolee mtu kama sio sahihi kwenye maisha yako haipiti siku anaodnolewa, sembuse kuomba mtu sahihi? Omba kwa kumaanisha mbona unampata vzr tu.. sema mi sipendagi wanaume wa makanisani ila wapo!!
Ndo ukikaa na wenzako mnajidanganya hvy?

Bc kila mtu angekuwa anaomba maadui zao waondoke, lkn wale wabaya wako ndo kwanza wanazidi kupendeza afu ww uliefanyiwa Ubaya unazidi kudumaa
 
Haiombwi Hivyo.

Nenda kwa ustaarabu tuu utapewa.

Na kama hana nia ya kukupa, utaendelea kupiga domo JF mpaka meno yatoe jasho.

Hakuna haja ya kuingia comment usizoelewa
sasa ndugu zangu na viwiko mnapeana 🤣🤣 angalieni msitoboane macho,mnagombania nafasi ya uenyekiti bara wakati kiti kina mtu anaepewa tu sahivi anavyonza juice ila hamko serious mangi 🤣🤣
 
bora mbobezi wa mambo kashafanya ameshatulia,bikra unaoa bikra eti bikra akishajua utamu unapatikana vipi si ndiyo kukigawa kila kona
Hahaha, mkuu hakuna ubora we sema tu ubahatike mwanamke aliyetulia mwenye standard zake iwe ulimkuta bikira au la. Mengine ni kujipa matumaini hewa tu.

Umeoa bikra akiwa hana mikopo, amekopa huko ili ukalipe ada za shule halafu hana marejesho na wewe umeshindwa mpa si unatengeneza tu mazingira akatolewe bikira nyingine na wahuni wenye mitaji?
 
🤣🤣🤣sawa mkuu yote ni heri
 
Back
Top Bottom