Kwanini wagonjwa wanaogopa Mloganzila?

Kwanini wagonjwa wanaogopa Mloganzila?

Nenda pale emergency department utaelewa kwa nini wagonjwa wengi wanafia Mloganzila, uliza wengi wakifika pale hali zao za afya zikoje.

Imagine una mgonjwa Bosch, ametibiwa for a month, wakiona huyu anakufa wanampa rufaa kwenda MNH, wakipiga simu emergency ya MNH wanaambiwa huyo mpelekeni tawi la Mloganzila(kuna emergency correspondent anaelekeza either aletwe Upanga au Mloga), akipokelewa hakai hata siku mbili anakufa. Lawama mnapeleka kwa Mloganzila.
Wanashindwa jiuliza why alipewa referral in first place,
Ingekuwa easy si wangebaki nae huko huko tu
 
Mloganzila inaonewa sana kwa muda mrefu sana na sijui hii dhana kwanini inajengeka na kukua kwa jamii zetu

Iko hivi mloganzila ilidesigniwa kuwa Academic centre ya MUHAS lakini hicho kitu sijui kama kiliwezekana nakumbua alieharibu huu mpango nahisi ni kipindi cha JPM
.
Watu wengi walikufa Mloganzila kipindi inaanza kwasabu kuu moja tu wagonjwa wenhi sana hasa wale wa internal medocine na waliokuwa terminal stage wengi ndio walihamishiwa kule na wengi walikuwa katika hali mbaya sana na uwezekano wakupona ulikuwa mdogo sana waliishia kupoteza maisha hii imekuwa kwa kiasi kikubwa na ikasambaa sana kwa ndugu jamaa na marafiki hadi kufikia huku tuliko leo hii!!

Watu wanakufa kila eneo ila hizi hospitali kubwa rate ya vifo ni kubwa kulingana na hizi HC zetu

Pia hao wengi wanaanza huko sijui Agakhan mara Rabinsia sijui Bochi Regency na kairuki wanapambana weeeh wakiona hali imekuwa ngumu ndio wanakupiga Refarral MNH ambao wao wanachagua uende wapi na huko unaenda kupoteza maisha lawama nyingi wanapewa wao!!
 
Mbona hili swala Muhimbili-Mloganzila walishatoa majibu kama sio mwaka jana ni mwaka juzi kwamba wanapokea wagonjwa walioshindikana kabisa kwenye hospitali nyingine.
Halafu ile sio hospitali ya mafunzo ilibadilishwa kipindi cha mwendazake wanafunzi wa MUHAS mafunzo ni hapo hapo Upqnga.
 
Sema wabongo tunajua kujazana hofu,
Mleta mada kaja na maswali na conclusion bila kuwa na uelewa hata wa Mloganzila na Muhimbili zilivyo 😂😂😂
Hajui kuwa hata mloganzila na Muhimbili- Upanga ni hospital moja 😂
Hajui kuwa Mloganzila ina death rate ndogo sana kuliko MNH-Upanga,

Hajui kuwa MNH-MLG ilishatolewa chini ya MUHAS toka 2017 huko kipindi cha mwendazake ikawa chini ya MNH hivyo sio hospital ya mafunzo tena,

Kwa kukusaidia, Ile ni hospital ya taifa pale wanaenda watu hoi bin taaban walioshindwa hospital nyingine zooooote nchini hapa,
.halafu nenda japo siku moja MLG kaongee na wagonjwa wa pale na ndugu wakupe maoni yao
Acha kujichekesha mkuu
 
Akili za kijinga tu za watanzania walio wengi.pale mloganzila wana madaktari wengi tu tena wenye uzoefu na mabingwa kutoka muhimbili . Vifaa vya kutosha vipo .labda niwaulize tu ni hospitali gani wagonjwa hawafi?
Lisemwalo lipo.

Kwa nini isi semwe Tumbi hospitali, Kcmc au Bugando?

Kwa nini isemwe mloganzila tu?

Hao madaktari wengi wana utaalamu kiasi gani?

Au ndio wale madaktari uchwara wa mchongo?

Je wewe ni mfanyakazi wa hapo mloganzila?
 
Ile Hospital inafadhiliwa na devil worship,super masonic wenyewe, na kuna mambo ya ajabu yatatokea pale ambayo hujawahi ona.Now wameanza na surgery za kubadiki maungo.
Masonic unawajua?

Devil ni nani?

Hebu eleza hayo mambo ya ajabu walau hata moja tu..
 
Sifa za bwana fulani kutumia nguvu kuliko akili, kulazimisha mambo aonekane kafanya makubwa.....hospital haijajikamilisha miundombinu wala wafanyakazi ikaanza kuchapa kazi....itaacha kuwa mochwareee??!
Sometimes wanakua kama wana bahatisha bahatisha na umakini una kua mdogo , asa unakuta professer yeye ana point tuu badala afanye 🚮
 
Sema wabongo tunajua kujazana hofu,
Mleta mada kaja na maswali na conclusion bila kuwa na uelewa hata wa Mloganzila na Muhimbili zilivyo
Hajui kuwa hata mloganzila na Muhimbili- Upanga ni hospital moja
Hajui kuwa Mloganzila ina death rate ndogo sana kuliko MNH-Upanga,

Hajui kuwa MNH-MLG ilishatolewa chini ya MUHAS toka 2017 huko kipindi cha mwendazake ikawa chini ya MNH hivyo sio hospital ya mafunzo tena,

Kwa kukusaidia, Ile ni hospital ya taifa pale wanaenda watu hoi bin taaban walioshindwa hospital nyingine zooooote nchini hapa,
.halafu nenda japo siku moja MLG kaongee na wagonjwa wa pale na ndugu wakupe maoni yao
Hao wagonjwa walio hoi bin taabani, kwamba wakitibiwa hapo mloganzila ndio hupona?

Kwani mloganzila ni ICU?
 
Ulisoma Research Methods, kuna:-

1. Research Question
2. Conclusion

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Hao wagonjwa walio hoi bin taabani, kwamba wakitibiwa hapo mloganzila ndio hupona?

Kwani mloganzila ni ICU?
Ushawahi tibiwa MLG? ushawahi fika ? Pengine upo zako Mbeya huko halafu unaisema MLG, Nenda pale kaongee na ndugu wa wagonjwa
 
Mimi nilimpoteza dada yangu pale, baada ya kumkuta akiwa amelala kwenye dimbwi la damu nyingi iliyovuja kwa muda mrefu kutokana na bed souls, baaya ya kuwataarifu manesi ndio wakaanza kumpa huduma lkn siku ya tatu alifariki, hata damu tuliyoambiwa tumchangie mgonjwa hakuongezwa.Nina wasiwasi na huduma za pale.
 
Back
Top Bottom